pansophy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 502
- 320
Yaani ulivyopanic nimekushka *koni* kwelikweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani ulivyopanic nimekushka *koni* kwelikweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Acha kudhalilisha fani ya uhandisi, umetupia picha ili tuchambue picha kweli? Kwa hiyo wahandisi waanze kuchambua hivyo vipicha hapo?Yaani ulivyopanic nimekushka koni kwelikweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tunaipenda Tanzania, tunaichukia CCM na Magufuli
Onyesha ni wapi nime~panic kwenye maelezo yangu. Au hujui maana ya ku~panic?Yaani ulivyopanic nimekushka koni kwelikweli[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana namwuunga mkono mkuu. Ni hela za umma ambazo zinatumika. Sioni sababu ya watanzania kufichwa aina ya treni na stations zake. Kwa nini iwe siri? Kwani kuna kampuni ambayo inazuia product yake isitengenezwe na makampuni mengine? Au kuna violation yeyote ya Patent ya mtu?Huna ethics za kazi, future ni giza tupu ukiendelea na swaga kama hizi, inshu zako za kazi confo kama hizi unaaanza kuzileta JF na mwajiri kama yuko smart kesho tu ungelimwa barua ya matumizi mabaya ya taarifa. Jifunze kuwa na kifua uwapo kazini
Station kuu itakuwa na umbo la madini ya Tanzanite ni kweli lakini itakuwa na ghorofa 2! Floor ya chini itatumika kwa abiria ambao wanatumia Treni ya zamani na floor ya 1 itakuwa na abiria wa SGR! station kuu itakuwa mzuri sana tena sana labda ya Pugu ndiyo ndogo ila si kufikia hatua ya kuiponda kihivi labda baada ya kukamilika itakuwa mzuri kwa muonekano.Asante kwa taarifa mkuu... Eti list ungeweka picha za design za station husika ili na sisi tuone na tuanze kuzipigia kelele
Station kuu itakuwa na umbo la madini ya Tanzanite ni kweli lakini itakuwa na ghorofa 2! Floor ya chini itatumika kwa abiria ambao wanatumia Treni ya zamani na floor ya 1 itakuwa na abiria wa SGR! station kuu itakuwa mzuri sana tena sana labda ya Pugu ndiyo ndogo ila si kufikia hatua ya kuiponda kihivi labda baada ya kukamilika itakuwa mzuri kwa muonekano.Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Kachemka huyo ya Dar itakuwa bomba sana.Station kuu itakuwa na umbo la madini ya Tanzanite ni kweli lakini itakuwa na ghorofa 2! Floor ya chini itatumika kwa abiria ambao wanatumia Treni ya zamani na floor ya 1 itakuwa na abiria wa SGR! station kuu itakuwa mzuri sana tena sana labda ya Pugu ndiyo ndogo ila si kufikia hatua ya kuiponda kihivi labda baada ya kukamilika itakuwa mzuri kwa muonekano.Station za treni za katikati hazina haja ya kuwa kubwa kwani hakuna mizigo mingi wala wasafiri wengi, station za kwenye miji ndio huwa zinakuwa na wasafiri na mizigo mingi na kuna haja ziwe kubwa.Jaribu kufuatilia station kubwa za wakoloni za katikati, ukiangalia baadhi zilijengwa kwa majengo makubwa kwa kuangalia wingi wa wasafiri au shuguli ya kiuchumi ya sehemu husika na si kuwa zilijengwa zote kubwa bila ya sababu...
Sijaona Ubaya wake jamani labda kama alitaka ata Station ya Pugu iwe kubwa kama ya Dar au MorogoroWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Mnafiki tu huyo hana jipyaLETA BASI HIZO PICHA Mkuu
Mleta mada kakimbia maswali yangu. Hayuko kwenye mradi wa SGR ila amefanikiwa kuwazubaisha wengi isipokuwa mimi.
Mkuu umempa nyundo za maana mpaka mkojo umembana banah!Onyesha ni wapi nime~panic kwenye maelezo yangu. Au hujui maana ya ku~panic?
Wewe siyo engineer na wala siyo site engineer kwenye mradi wa sgr.
Maswali ya mwisho:
Material yanayotumika kujengea tuta yana cbr ngapi?
Yale mawe yanayotumika kwenye ujenzi yanatoka wapi?
Sub contractor anayefanya kazi kuanzia km 68+900 hadi km 77+800 anaitwaje?
Earthwork chief [YM] anaitwa nani?
Team iliyofanya kazi ya earthwork kuanzia km 62+900 hadi km 64+800 ilitoka wapi na sasa hivi iko wapi?
Taja majina angalau ma3 ya mainjinia wanaofanya kazi upande wa consultant wanaokagua kazi mnazofanya [mkandarasi].
Leo umeingia choo cha kike!
Mfano wako hauna uhalisia, kumbuka sisi (wananchi) ndiyo wenye reli yetu na hao viongozi tuliowapa dhamana ya kutusimamia ni watumishi wetu so tuna haki na kila sababu ya kuwakosoa na kuwaelekeza pale tunapoona mambo hayako sawa. Ni tofauti sana na mtumishi wa ndani (mtumwa) ambaye huwa hana sauti wala maamuzi, yeye ni kuagizwa na kutii.Suala siyo kubebwa . Hivi nikuulize swali- Iwapo wewe unajenga nyumba yako halafu anatokea mfanyakazi wako wa ndani anaiponda nyumba hiyo akiwa kijiweni na washikaji zake utamfanya nini?
mbona station ya dar ni kubwa tu. tena itakuwa na shopping malls, station ni sehemu ya kushuka na kupanda abiria kama hamna movement kubwa ya watu huna haja ya kuremba unajiingiza hasara, pili mahitaji yakiongezeka zitajengwa na kupanuliwa, nenda uingereza station kubwa utazikuta london, birmingham, manchester na miji mingine mikubwa ila station za njiani za kawaida sanaMnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set