BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Kwa jibu lako hili, wewe siyo mhandisi kwenye mradi wa SGR, Lot 1 [Dsm - Moro].Consultant Anatoka South Korea yeye aliona sawa, kwani Yapi zile takataka za Ethiopia alizojenga hawakuwa na consultant ?
Jinga kweli wewe yaani nikujibu maswali yote ili unigundue....,muulize Kadogosa, Katalaya, Mgezi, Sitivin Sahani watakuambia me ni nanSina uhakika kama kweli unafanya kazi kwenye mradi wa SGR ukiajiriwa na YM.
Naomba unijibu maswali haya:
Station ya Soga iko chainage gani? Status ya design na construction ya Soga station ikoje? Yaani nini kimefanyika mpaka sasa kwenye station ya Soga? Ujenzi wa hii station unaendelea au hauendelei?
Nitajie angalau majina matatu ya construction managers [YM] waliopo Soga.
Site engineers wa kitanzania ambao mmeajiriwa na YM mko wangapi? Wanaofanya earthworks ni wangapi? Walioko structures ni wangapi?
Ukinijibu maswali haya vema, nitajua kweli wewe engineer uko kwenye mradi wa SGR ukifanya kazi YM.
Mengine nitakuhoji inbox!
Mmeingia kwenye mtego wa malumbano na mtu ambaye hayuko kwenye mradi huu na hajui chochote kuhusu mradi wa SGR!Huko kazini kwako hakuna vikao? Kwanini usilizungumze kwenye vikao vyenu? Ukituambia sisi tuna nguvu gani ya kubadili mambo yaliyopo kwenye ngazi ya utekelezaji? Ni nani amekutuma kuja kulalamika kwetu? Kama ninyi kwa ninyi mmekosa kuongea lugha moja huko ndani, je sisi wa nje tutaielewa lugha iliyowashinda ninyi wa ndani?
Ok, Mgedzi ni nani kwenye mradi huu kwa sasa?Jinga kweli wewe yaani nikujibu maswali yote ili unigundue....,muulize Kadogosa, Katalaya, Mgezi, Sitivin Sahani watakuambia me ni nan
Rukuku boy. Unategemea tukuamini bila picha. Wewe si uko huko ? Simu ya tachi si unayo ? Kwanini unakurupuka kama uliyefumaniwa na sheikh wa Ujiji kigoma ?Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
HiyoRukuku boy. Unategemea tukuamini bila picha. Wewe si uko huko ? Simu ya tachi si unayo ? Kwanini unakurupuka kama uliyefumaniwa na sheikh wa Ujiji kigoma ?
Weka pichas
Asiwazubaishe huyo, hayuko kwenye mradi wa SGR. Amekimbia maswali niliyomuuliza.Rukuku boy. Unategemea tukuamini bila picha. Wewe si uko huko ? Simu ya tachi si unayo ? Kwanini unakurupuka kama uliyefumaniwa na sheikh wa Ujiji kigoma ?
Weka pichas
HiyoUnaongelea station ipi? Moro, Ngerengere, Ruvu, Soga , Pugu au Dar?
Hata ukitumia nguvu hunipati siwezi ingia kwenye maswali yako ya mtegoAsiwazubaishe huyo, hayuko kwenye mradi wa SGR. Amekimbia maswali niliyomuuliza.
Mmeingia kwenye mtego wa malumbano na mtu ambaye hayuko kwenye mradi huu na hajui chochote kuhusu mradi wa SGR!
Hakustahili kuwepo kwenye hiyo projectkwanini unavujisha mipango ya nchi.? nakuadhibu kifungo cha miaka 5 na bakora 12 uingiapo na utokapo jela.!
Kwanza treni yetu haitakuwa moto wa kuotea mbali, labda kama unafananisha na ya Kenya tu, tusipende kudanganyana.Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.
Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli.
Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed yake, aina ya treni itakayo tumika, na uwezo wa kubeba mzigo, yaani hapa SGR itakuwa vizuri sana.
Kituko kinakuja kwenye station za reli, yaani aliyefanya design aliambiwa adi-sign kulingana na vitu vya Tanzania yaani station zi-reflect Tanzania. Basi station moja itafanana na umbo la Madini ya Tanzanite, nyingine itakuwa na umbo la kiremba cha mwanamke, nyingine sjui vinini yaani ujinga tu, kibaya zaidi station ni ndogo saaaana, tena sana.
Kwa hili TZ tumepigwa gape na wa Kenya wana station za kisasa na kubwa sio kama zetu.
N. B. Tulipojitahidi kuzikosoa wakatishia kutufukuza kazi,
Watanzania station za SGR ni upupu mtupu.
Engineer,
Rukuku boy
Unataka Nini hasa?Station za treni za katikati hazina haja ya kuwa kubwa kwani hakuna mizigo mingi wala wasafiri wengi, station za kwenye miji ndio huwa zinakuwa na wasafiri na mizigo mingi na kuna haja ziwe kubwa.Jaribu kufuatilia station kubwa za wakoloni za katikati, ukiangalia baadhi zilijengwa kwa majengo makubwa kwa kuangalia wingi wa wasafiri au shuguli ya kiuchumi ya sehemu husika na si kuwa zilijengwa zote kubwa bila ya sababu...
Huna lolote, wazubaishe wasiojua chochote kuhusu mradi wa SGR. Kama kweli wewe ni site engineer, niambie pale km 53+700 palikuwa na tatizo gani na lilitatuliwaje?Hata ukitumia nguvu hunipati siwezi ingia kwenye maswali yako ya mtego
Vituo can be managed by private sectorWakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora.