sawa mkuu nakubali japo hujaniambia upumbavu wangu uko wapiUna mawazo ya kisengerema kweli. Hivi watanzania wapumbavu kama wewe unavowaza!
kwani libya zilipitia wapi mkuu?Hizo silaha zitapitia wapi????
Labda anamanisha vita ya maneno kuchambana ila ya Ak47 smg F16 sio kwa kizazi hiki cha kubeti mkeka, wengi ni bangi na pombe...Mmh Watanzania hawa ninao wajua eti wakapigani [emoji23][emoji23][emoji23] subutu acha uwongo wewe kijana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Waasi sio lazima wawe wazawa, Waasi was Libya walipandikizwa kutoka marekani na ulaya na sio wazaw baadae wazawa wakawaunga mkono mamluki.Kwa hio sayansi ya uasi inawezakutumika kupandikiza hata waasi wa nchi nyingine.Acha uongo hakuna kijana anaweza kushika silaha apambane na serikali.
Hawa wanaotawanywa kwa maji na mabomu ya machozi?!
Wanaanzaje sasa?!
Kweli kabisaa, hakuna wakushika mtutuLabda anamanisha vita ya maneno kuchambana ila ya Ak47 smg F16 sio kwa kizazi hiki cha kubeti mkeka, wengi ni bangi na pombe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu nchi hii wao wanawazaga kua hii nchi na wananchi wake ni viumbe walioumbwa special na tofauti sana binadamu wengine kwenye nchi zingine.Bila kujua kua tamaduni ya upole na uungwana tuliyonayo watz ni mambo yaliyoasisiwa na watu nayakadumishwa enzi na enzi, lakini kama tusipokua makini kutunza tamaduni hizo iko siku tutazitafuta.Waasi sio lazima wawe wazawa, Waasi was Libya walipandikizwa kutoka marekani na ulaya na sio wazaw baadae wazawa wakawaunga mkono mamluki.Kwa hio sayansi ya uasi inawezakutumika kupandikiza hata waasi wa nchi nyingine.
Swali ninalojiuliza kila mara iweje nchi zenye majeshi makubwa zishindwe kudhibiti kikundi Cha waasi waliojitenga kwenye specific area wakati wana makomando,vifaru, mahelikopta missiles nk. Mfano Nigeria na ukubwa wake imeshindwa kuwadhibiti boko haram.Kongo inasumbuka,Urusi ilisumbuka miaka mingi na wachechnya pamoja nguvu ya Urusi.
Tuendelee kuheshimiana tu Ila uhasi haudhibitiki kiurahisi kama wengi wanavyodhani.
Aisee ndugu yangu umeandika hivi ukiwa timamu? wapi nimesema hivo?Kwahyo tukiweka madarakani Chadema na mbowe ndo nchi yetu itatulia??
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hiki ndicho kinafanya walevi wa madaraka wazidi kutoa kauli tata wakiamini kuwa hakuna wa kuthubut hili. Yamkini na Gadaffi aliamini hvhv kuwa hakuna mlibya anayeweza kushika silaha dhidi yake.
Waambie hao vijana wasithubutuWenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, vijana wawili kati ya ambao tulikuwa tunapiga nao stori kijiweni wao wanasema wamepitia JKT na wanasema kama ikitokea kama Libya hapa nchini wao wako tayari Kushika SMG na AK47 kupigana dhidi ya serikali yao. Ni habari ya kusikitisha kabisa lakini ndiko tulikofikia.
Viongozi angalieni namna mnavyotawala hata kama si leo iko siku mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi, watu wanaonekana kuwa na manung'uniko mengi wanasubiri litokee la kutokea waoneshe hasira zao. Acheni kuwasikiliza hao wanaowapaka mafuta kwa mgongo wa chupa eti kila anaelalamika ni MPIGA DILI, Nyumbu, mara vyeti feki, mhujumu, katumwa na mabeberu, si mzalendo na majina mengine yasiyofaa huku wao lengo lao ni kujineemesha.
Mimi ni mlalahoi tu ila kwa ninayoyaona na kuyasikia huku mtaani serikali ijenge umoja wa kitaifa na kuwarudisha watu wake pamoja bila migawanyiko iliyoko sasa ni mibaya adui akituingilia ni rahisi kutumaliza.
Asubuhi njema
Labda anamanisha vita ya maneno kuchambana ila ya Ak47 smg F16 sio kwa kizazi hiki cha kubeti mkeka, wengi ni bangi na pombe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitatokea kamweeeeemkuu amini nakwambia wanakosa ground tu kwa vile wanabanwa wakiingia kama walivoingia Syria hutoweza kuamini
Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, vijana wawili kati ya ambao tulikuwa tunapiga nao stori kijiweni wao wanasema wamepitia JKT na wanasema kama ikitokea kama Libya hapa nchini wao wako tayari Kushika SMG na AK47 kupigana dhidi ya serikali yao. Ni habari ya kusikitisha kabisa lakini ndiko tulikofikia.
Viongozi angalieni namna mnavyotawala hata kama si leo iko siku mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi, watu wanaonekana kuwa na manung'uniko mengi wanasubiri litokee la kutokea waoneshe hasira zao. Acheni kuwasikiliza hao wanaowapaka mafuta kwa mgongo wa chupa eti kila anaelalamika ni MPIGA DILI, Nyumbu, mara vyeti feki, mhujumu, katumwa na mabeberu, si mzalendo na majina mengine yasiyofaa huku wao lengo lao ni kujineemesha.
Mimi ni mlalahoi tu ila kwa ninayoyaona na kuyasikia huku mtaani serikali ijenge umoja wa kitaifa na kuwarudisha watu wake pamoja bila migawanyiko iliyoko sasa ni mibaya adui akituingilia ni rahisi kutumaliza.
Asubuhi njema
[/QUmefikiria nini mpaka ukaandika hivyo? maana watanzania hatupo hivyo
Mtwara na Kibiti ni nchi gani?? Uliona zile vurugu kule mbagala wakati wa uchaguzi!! Watanzania sio wajinga kma mnavyofikiri ila ndio hivo wanaugulia moyoni tu siku wakichoka kama Mtwara,Mwembechai au Pemba mtaelewa......Acha uongo hakuna kijana anaweza kushika silaha apambane na serikali.
Hawa wanaotawanywa kwa maji na mabomu ya machozi?!
Wanaanzaje sasa?!