Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

Mmh Watanzania hawa ninao wajua eti wakapigani [emoji23][emoji23][emoji23] subutu acha uwongo wewe kijana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda anamanisha vita ya maneno kuchambana ila ya Ak47 smg F16 sio kwa kizazi hiki cha kubeti mkeka, wengi ni bangi na pombe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo hakuna kijana anaweza kushika silaha apambane na serikali.

Hawa wanaotawanywa kwa maji na mabomu ya machozi?!

Wanaanzaje sasa?!
Waasi sio lazima wawe wazawa, Waasi was Libya walipandikizwa kutoka marekani na ulaya na sio wazaw baadae wazawa wakawaunga mkono mamluki.Kwa hio sayansi ya uasi inawezakutumika kupandikiza hata waasi wa nchi nyingine.
Swali ninalojiuliza kila mara iweje nchi zenye majeshi makubwa zishindwe kudhibiti kikundi Cha waasi waliojitenga kwenye specific area wakati wana makomando,vifaru, mahelikopta missiles nk. Mfano Nigeria na ukubwa wake imeshindwa kuwadhibiti boko haram.Kongo inasumbuka,Urusi ilisumbuka miaka mingi na wachechnya pamoja nguvu ya Urusi.
Tuendelee kuheshimiana tu Ila uhasi haudhibitiki kiurahisi kama wengi wanavyodhani.
 
Hilo lawezakuwepo hata ukiongea na vijana Wa jkt,jeshi nao ni wahanga wanasema uoga wetu tu wao watu wakianzisha wao wanamaliza sisi ndo tunawaangusha nao wamechoka kuisoma namba awatakubali kuona wachache wakiharibu watasimama na wengi trump keshaonyesha njia
 
Umeongea mambo ya msingi sana, kwa wenye akili wataelewa ila wale wenzangu namimi wenye mawazo mgando zisizoelewa kua dunia inabadilika na watu wanabadilika na bila kujua kua ata nchi zilizoingia kwenye machafuko hapo mwanzo zilikua zimetulia watakubeza.
 
Waasi sio lazima wawe wazawa, Waasi was Libya walipandikizwa kutoka marekani na ulaya na sio wazaw baadae wazawa wakawaunga mkono mamluki.Kwa hio sayansi ya uasi inawezakutumika kupandikiza hata waasi wa nchi nyingine.
Swali ninalojiuliza kila mara iweje nchi zenye majeshi makubwa zishindwe kudhibiti kikundi Cha waasi waliojitenga kwenye specific area wakati wana makomando,vifaru, mahelikopta missiles nk. Mfano Nigeria na ukubwa wake imeshindwa kuwadhibiti boko haram.Kongo inasumbuka,Urusi ilisumbuka miaka mingi na wachechnya pamoja nguvu ya Urusi.
Tuendelee kuheshimiana tu Ila uhasi haudhibitiki kiurahisi kama wengi wanavyodhani.
Kuna watu nchi hii wao wanawazaga kua hii nchi na wananchi wake ni viumbe walioumbwa special na tofauti sana binadamu wengine kwenye nchi zingine.Bila kujua kua tamaduni ya upole na uungwana tuliyonayo watz ni mambo yaliyoasisiwa na watu nayakadumishwa enzi na enzi, lakini kama tusipokua makini kutunza tamaduni hizo iko siku tutazitafuta.
 
Kwa sasa unaweza wadharau lakini iko siku watakufarahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pakishatokea vita wewe unapata faida gani ! Kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] Na mimi nakwambia hamna mtanzania anaeweza chukua silaha watanzania waogo wanapenda familia zao hawataki vurugu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Na hiki ndicho kinafanya walevi wa madaraka wazidi kutoa kauli tata wakiamini kuwa hakuna wa kuthubut hili. Yamkini na Gadaffi aliamini hvhv kuwa hakuna mlibya anayeweza kushika silaha dhidi yake.

Bs anza wewe tukufuate au wewe sio mtanzania [emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, vijana wawili kati ya ambao tulikuwa tunapiga nao stori kijiweni wao wanasema wamepitia JKT na wanasema kama ikitokea kama Libya hapa nchini wao wako tayari Kushika SMG na AK47 kupigana dhidi ya serikali yao. Ni habari ya kusikitisha kabisa lakini ndiko tulikofikia.

Viongozi angalieni namna mnavyotawala hata kama si leo iko siku mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi, watu wanaonekana kuwa na manung'uniko mengi wanasubiri litokee la kutokea waoneshe hasira zao. Acheni kuwasikiliza hao wanaowapaka mafuta kwa mgongo wa chupa eti kila anaelalamika ni MPIGA DILI, Nyumbu, mara vyeti feki, mhujumu, katumwa na mabeberu, si mzalendo na majina mengine yasiyofaa huku wao lengo lao ni kujineemesha.

Mimi ni mlalahoi tu ila kwa ninayoyaona na kuyasikia huku mtaani serikali ijenge umoja wa kitaifa na kuwarudisha watu wake pamoja bila migawanyiko iliyoko sasa ni mibaya adui akituingilia ni rahisi kutumaliza.
Asubuhi njema
Waambie hao vijana wasithubutu
 
[/QUmefikiria nini mpaka ukaandika hivyo? maana watanzania hatupo hivyo
 
Vijana wetu wanawish bangi na viroba vipatikane tu kwa wingi mtaani,km muujiza ya wana wa israel kuokota kware jangwani.

Hayo kuwatayari kushika eikeifoti seveni ni urongo mtup,m nakupuuza.
 
Katika nchi ngumu marekani kupitisha uasi ni Tanzania,hadi dunia ipinduke juu chini hawatoweza niamini ninchokuambia, labda wawalete wa kutoka nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo hakuna kijana anaweza kushika silaha apambane na serikali.

Hawa wanaotawanywa kwa maji na mabomu ya machozi?!

Wanaanzaje sasa?!
Mtwara na Kibiti ni nchi gani?? Uliona zile vurugu kule mbagala wakati wa uchaguzi!! Watanzania sio wajinga kma mnavyofikiri ila ndio hivo wanaugulia moyoni tu siku wakichoka kama Mtwara,Mwembechai au Pemba mtaelewa......
 
Back
Top Bottom