Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

Katika nchi ngumu marekani kupitisha uasi ni Tanzania,hadi dunia ipinduke juu chini hawatoweza niamini ninchokuambia, labda wawalete wa kutoka nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza sana tu wanaangalia demographies tu.... Kipindi cha Peak Ustadh Ilunga na Sheikh Ponda Tz ingeingia kwenye machafuko maana mapadri walishaanza pigwa risasi na kuna sheikh alimwagiwa tindikali ilihitaji kichocheo kingine kidogo tu mauaji yaanze kma mbagala na geita.

Kwa mgawanyiko uliopo kutupiganisha ni rahisi sana usidhani wanaopanda machafuko huwa hawasomi ramani za madhaifu. Mfano lile vuguvugu la 2015 pale angepigwa risasi Lowassa kingefuata nni?? Au Dr Slaa 2010??

Machafuko yanawezekana tu tuliyaona Mtwara tumeona pemba na kibiti so sio issue ngumu kma mnavyodhani. Kenya hao walikua na amani zaidi yetu ila Al shabaab wameifuta!!!!

Don't take things for granted
 
Amini nakwambia kama watawala wataendelea kufanya wanavyofanya iko siku tu, kumbuka hata haya yanayotokea ya mpaka viongozi kupigwa ban hakuna kama kuna siku uliwahi kudhani kuwa yanaweza tokea, hakuna hatavsiku moja ulifikiria kuwa tunaweza kuja kuwa na mtu kama jiwe kweye uongozi wa juu
Pakishatokea vita wewe unapata faida gani ! Kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38] Na mimi nakwambia hamna mtanzania anaeweza chukua silaha watanzania waogo wanapenda familia zao hawataki vurugu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtwara na Kibiti ni nchi gani?? Uliona zile vurugu kule mbagala wakati wa uchaguzi!! Watanzania sio wajinga kma mnavyofikiri ila ndio hivo wanaugulia moyoni tu siku wakichoka kama Mtwara,Mwembechai au Pemba mtaelewa......
Mwembechai walichoka nini?! Na Mbagala sikumbuki nini kilitokea, kibiti walikuwa wasiojulikana, hakukuwa na kikundi wala mtu aliyekubali kuhusika na lile tukio, serikali ili lazimisha kwamba ni vijana, Mtwara walisema ni vijana wa kiislam, hawa sababu zao ni dini siyo siasa.
Hakuna kijana ataweza kushika bunduki, wote wanaogopa maji ya kuwasha na moshi wa machozi.
Hawana cha kuwahamasisha kupigana, waliishatishwa wakatulia. Sasa wamepewa kadi za machinga ndio kabisaa wameridhika, sasa watapigana na nani?!
 
Wengi wa hao ni wale wafia dini, kasoro kongo na Libya,sioni kama Tanzania wanaweza maana wale viongozi wao wako keko muda mrefu sasa na wako kimya, hata sheikh ponda kawa mdebwedo kabisa siku hizi kabaki kusonya kwenye mic.
Tanzania uasi bado sana, watu waoga sana.
 
mkuu usiwadharau shauri kwa nia njema ya nchi yako haya mambo yanaanzaga hivihivi...
Hahaha nawadharau kwasababu hakuna anayeweza, usisikie zile sauti nyuma ya mic zikakutisha, hakuna kijana anaweza kujitolea kupigania uhuru wa nchi yake nchi hii, nasema tena HAKUNA.
 
Nadhani kuna haja ya kujitathmini sana kabla ya kujenga hoja ili kutokuonesha uelekeo mbaya wa pendeleo zetu kwenye masuala yanayohitaji utangamano na umoja.
Amani ya Taifa letu ina gharama kubwa katika kuthamini umoja wa kitaifa.Ni jambo la maana sana kama tukisadifu misingi hiyo iliyojengwa kwa gharama kubwa.
Leo tunajiita Watanzania ila hikuwa kazi rahisi kujenga utambulisho wetu na kama tunathamini gharama zilizotumika basi tunapaswa kuhubiri umajumui kuliko jambo jingine lolote.
Zipo propaganda nyingi mno zinazovuma kwa lengo la kuharibu kabisa picha halisi ya Utanzania wetu.Propaganda hizi huandaliwa kwa makusudi na kwa maslahi ya wasiopenda umoja wetu.
Tunachati hapa na kuandika kwa raha kwa sababu ipo gharama na mawazo sahihi yaliyotumika kutuunganisha pamoja kama watu wa Taifa moja ambalo ni huru.
Sijafanya utafiti sana juu ya hili ila kupitia uzoefu ni mara kadhaa sasa kila Taifa lonapokaribia kwenye uchaguzi na muda baada tu ya uchaguzi kusambaza kwa kauli za chuki na uchonganishi ambazo kwa kweli zinaweza kupanda hofu na aghalabu kutumika kuwaghiribu vijana.
Ninadhani kauli kama hizo hatupaswi kuzishangilia hata kidogo na badala yake tunapaswa kutambua thamani yetu ni Taifa letu.
Hatuwezi kujiita wazalendo na huku tunaliumbia Taifa letu mabaya au tunaona mabaya kiasi cha kuondoa kabisa mapenzi yetu kwa Taifa letu.
Taifa siyo mtu mmoja ,Taifa linaundwa na watu wengi mno na watu wana madhaifu mengi sana lakini hatupaswi kutumia madhaifu yetu kuharibu au kutengeneza mianya ya kuharibu.
 
Watu wamekata tamaa kweli kweli,GAP KATI MASIKINI NA TAJIRI LIMEPANUKA ZAIDI YA ILIVYOTAZAMIWA KUMKOMBOA MNYONGE/MASIKINI,ILI UISHI IMEKUWA NI LAZIMA UMPAMBEPAMBE NDIYO UPATE SALAMA YAKO.
ALAULLAH TUNUSURUNA MJENGA SHARI.
 
Tuache cherry picking Pemba 1999 na Mbagala 2015 ilikua ni dini??? Issue hpa sio dini au siasa issue ni je watanzania wanaweza ingia barabarani.

Hta huko mtwara au kibiti ni wanyarwanda?? The cause doesn't matter..... Ila reaction yake sio uliona??

Kila mtu ana red line ya tolerance so ukivuka mstari uvumilivu unafika mwisho. So msifanye waTZ wapumbavu kihivyo.

NB: kibiti wasiojulikana ni warundi??
 
Na ndyo maana kunawatu hawalali kwa ajili ya kuhakikisha hayo hayatokei

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mtu mzima pengine na midevu kibao, umekalisha MASABURI chini unajidanganya eti kuna watu hawalali kwaajili ya wengine? Akili za ajabu kabisa hizi. Kufanya STAREHE na ANASA wamuachie nani?
 
Una mawazo ya kisengerema kweli. Hivi watanzania wapumbavu kama wewe unavowaza!
MAREHEMU Gadafi pia alikua na JEURI, MAJIVUNI na KEJELI kama zako. Lakini alishangazwa na vijana wake wakimshikia silaha na wengine kufikia hadi KUMLA TIGO YAKE kabla ya umauti kumfika.
 
Vijana walikuwa na silaha kali kushinda jeshi la Ghadafi. Ghadafi alikuwa anaona kama vijana hawana lolote ila alikuja kufa huku haamini kama ameuliwa kama panya. Sweden nayo imepunguza misaada.
MAREHEMU Gadafi pia alikua na JEURI, MAJIVUNI na KEJELI kama zako. Lakini alishangazwa na vijana wake wakimshikia silaha na wengine kufikia hadi KUMLA TIGO YAKE kabla ya umauti kumfika.
 
Mkuu m najua unambishia jamaa huku unajua,

Hii nchi mgawanyiko unaoweza kufanikiwa ni wa kidini tu! huko kwenye siasa haiwezekani x3

Yaani unaamini hawa wasanii kina Zitto na Mbowe wanaweza kuongoza watu kupambana na serikali??!
 
Mnapenda kudanganya na kukuza mambo, hakuna wabongo walio tayari kushika bunduki na kurushiana na jeshi, life is very sweet here.
Endeleeni kuota na kuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…