zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Wanaweza sana tu wanaangalia demographies tu.... Kipindi cha Peak Ustadh Ilunga na Sheikh Ponda Tz ingeingia kwenye machafuko maana mapadri walishaanza pigwa risasi na kuna sheikh alimwagiwa tindikali ilihitaji kichocheo kingine kidogo tu mauaji yaanze kma mbagala na geita.Katika nchi ngumu marekani kupitisha uasi ni Tanzania,hadi dunia ipinduke juu chini hawatoweza niamini ninchokuambia, labda wawalete wa kutoka nchi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mgawanyiko uliopo kutupiganisha ni rahisi sana usidhani wanaopanda machafuko huwa hawasomi ramani za madhaifu. Mfano lile vuguvugu la 2015 pale angepigwa risasi Lowassa kingefuata nni?? Au Dr Slaa 2010??
Machafuko yanawezekana tu tuliyaona Mtwara tumeona pemba na kibiti so sio issue ngumu kma mnavyodhani. Kenya hao walikua na amani zaidi yetu ila Al shabaab wameifuta!!!!
Don't take things for granted