Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

Mkuu m najua unambishia jamaa huku unajua,

Hii nchi mgawanyiko unaoweza kufanikiwa ni wa kidini tu! huko kwenye siasa haiwezekani x3

Yaani unaamini hawa wasanii kina Zitto na Mbowe wanaweza kuongoza watu kupambana na serikali??!
Mjadala unasema waTZ hawawezi kupambana na serikali kudai haki.... Ssa hao waislam ni wanyarwanda ama??

Btw vurugu kule Pemba zilikua za kidini 1999?? Vp vurugu za mwanza uchaguzi 2010 ilikua dini hadi watu kuchoma magari na nyumba?? Kule mbagala 2015 mie nlishuhudia vurumai kubwa sana, hadi kura zikachomwa na shule ya msingi kuvamiwa,watu kupigwa..... Mabomu na risasi kurindima hadi uchaguzi ukafutwa

ile ilikua ya kidini??

Kama hao wapinzani hawana uwezo wa kuleta vurugu maandamano huwa mnazuia ya nni?? Siku ile Akwilina alipokufa walikuwa wanayarwanda walioandamana?? Vp vurugu za Arusha 2011 hadi kituo cha polisi kuchomwa na wanachadema almost 10 kuuawa??

Msiwachukulie wabongo poa, otherwise mikutano ya upinzani isingezuiwa.
 
Mnapenda kudanganya na kukuza mambo, hakuna wabongo walio tayari kushika bunduki na kurushiana na jeshi, life is very sweet here.
Endeleeni kuota na kuombea

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibiti walikua warundi?? Mtwara walikua watutsi ama?? Kule Pemba ni waganda?? Mwembechai ni wacongo??

CCM mnaleta dharau alafu watu wakitaka kuandamana mnajaza polisi?? What's that..... Kma hawawezi kuwa mnazuia ya nni?

Embicile
 
Kibiti walikua warundi?? Mtwara walikua watutsi ama?? Kule Pemba ni waganda?? Mwembechai ni wacongo??

CCM mnaleta dharau alafu watu wakitaka kuandamana mnajaza polisi?? What's that..... Kma hawawezi kuwa mnazuia ya nni?

Embicile
Mbona nyinyi nyumbu mnashindwa andamana, you know why, coz u don't have neither the support nor the number. So hata mkishika guns, mtakuwa outnumbered and killed.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona nyinyi nyumbu mnashindwa andamana, you know why, coz u don't have neither the support nor the number. So hata mkishika guns, mtakuwa outnumbered and killed.


Sent using Jamii Forums mobile app
Akwilina alipopigwa risasi yalikua ni jogging club?? Ile mikutano ya kina Heche na Msigwa haina numbers??

Maandamano hakuna aliyeshindwa ila mnayaogopa..... Mkiruhusu maandamano ya amani alafu watu wasijitokeze ndio mtakuwa na moral authority otherwise mnajitia moyo tu hku mkiujua ukweli moyoni.

70% ya wapiga kura 2020 ni Millenials to them CCM is nothing...... Hao ndio hawana ajira na wengi ni vijana mtawaconvince kwa kipi?? Na CHADEMA base yake ni millenials na mnafahamu hilo ssa kma mnajiamini tune huru kivp muogope??

Embiciles
 
Kwahyo tukiweka madarakani Chadema na mbowe ndo nchi yetu itatulia??

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hawa CCM wabana sana alafu wenyewe wanagawana cake ya taifa peke yao aseh

Mkutano yakisiasa wanataka wafanye wao tu kama nchi ya peke yao

Ajira wanajipa wenyewe tu hadi vyeo viwili ila ajira za wananchi wamebana

Posho na marupurupu wanagawana wenyewe tu

Wana mfavor Bashite kupendeleana

Wanabana mianya yote ya sis kutoboa alafu wenye wakula keki ya taifa tu na wototo wao yaani wamebana hadi you tube aseh tulipe kodi eti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,nikweli kabisa hata hizo nchi wanazopigana Vita wanatamani kujiondoa Ila wanashindwa nikwasababu Kuna mataifa yaliyojipenyeza kuhakikisha amani haipatikani kwa maslahi yao binafsi,na ukichukulia rasilimali tulizonazo watanzania,Gas,madini,misitu,mbuga za wanyama ni vigumu Sana kutuacha salama.Naona wenye mamlaka wajitathmini vizuri kuhusu manung'uniko ya raia yanayoendelea maana waswahili wanasema "MOTO HUANZA NA MOSHI"
 
Kuwa makini sana na unayoyaandika. Mafunzo ya kijeshi ni habari nyingine usifananishe naemuhadhara wa Chuo kikuu. Mafunzo ya kijeshi ni kuua watu na kuokoa watu. Mtu yeyote mwenye mafunzo ya kijeshi kabla kuhitimu mafunzo yake anakula kiapo cha milele Atailinda na kuitetea Tanzania katika Hali yoyote na wakati anahitimu anawaona walio bora zaidi yake ndani ya hayo hayo mafunzo. Hivyo anajua wazi nikichokoza nimekwisha. Sasa usitegemee kukuta hiyo hoja yako inafanya kazi hapa Tz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huenda hujanielewa,

nimesema watanzania wenye guts za kufanya maandamano ya kutumia siraha au kutengeneza waasi ni vikundi vya dini tu(tuliona kibiti, mtwara na hata Tanga na Zanzibar),

hawa wanasiasa hawawezi, hawana guts, ni waoga na wasanii, hawawezi kutoa roho zao kwa ajiri ya watanzania

Umesema kulikua na maandamano Mwanza, pemba na mbagara, yale ni maandamano ya kawaida kabisa, ni vurugu za kawaida tu, huwezi fananisha hizo vurugu na vikundi vya waasi.
 
Inaumiza Sana mtu kwenda kununua ndege kuna watoto wanasoma chini huduma mbovu maji, umeme ,barabara



Mbaya zaidi wasomi wamekuwa Kama mbwa hakuna umuhimu wa elimu Tena


Afu kuna mpuuzi anazungumzia uzalendo hivi unajua mana ya uzalendo ww


Ngoja nikae Kimya mana macho yangu yanatoka machozi ya damu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So u embicile thinks, chadema mtamshinda magufuli, hata iwekwe tume gani, kumshinda jiwe ni ndoto za mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliache hili mkuu, huu mjadala hauta isha
 
So u embicile thinks, chadema mtamshinda magufuli, hata iwekwe tume gani, kumshinda jiwe ni ndoto za mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuprove wrong is muweke tume huru. What's so hard, ili ashinde kwa 99% bila ubishi.
Kuna uchaguzi wa madiwani na wabunge huko pia CCM ishinde 99% kwa tume huru hamuoni wapinzani tutaumbuka kuwa hatukubaliki?? Tena tutakosa excuse?

What's so hard?
 
Braza unadhani Nani ataleta afadhali? Kama upinzani hasa Chadema toka waanze kupata ruzuku mpaka leo wamepata jumla ya billion 10. Lakini wameshindwa hata kujenga ofisi moja, wataweza kweli kuwajali wananchi? Rangi nyeusi ina laana ya asili, you need to fight alone haha maviongozi hayatatupeleka popote
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…