Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjadala unasema waTZ hawawezi kupambana na serikali kudai haki.... Ssa hao waislam ni wanyarwanda ama??Mkuu m najua unambishia jamaa huku unajua,
Hii nchi mgawanyiko unaoweza kufanikiwa ni wa kidini tu! huko kwenye siasa haiwezekani x3
Yaani unaamini hawa wasanii kina Zitto na Mbowe wanaweza kuongoza watu kupambana na serikali??!
Kibiti walikua warundi?? Mtwara walikua watutsi ama?? Kule Pemba ni waganda?? Mwembechai ni wacongo??Mnapenda kudanganya na kukuza mambo, hakuna wabongo walio tayari kushika bunduki na kurushiana na jeshi, life is very sweet here.
Endeleeni kuota na kuombea
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nyinyi nyumbu mnashindwa andamana, you know why, coz u don't have neither the support nor the number. So hata mkishika guns, mtakuwa outnumbered and killed.Kibiti walikua warundi?? Mtwara walikua watutsi ama?? Kule Pemba ni waganda?? Mwembechai ni wacongo??
CCM mnaleta dharau alafu watu wakitaka kuandamana mnajaza polisi?? What's that..... Kma hawawezi kuwa mnazuia ya nni?
Embicile
Comments reservedNimezaliwa bongo nimekulia bongo.
Wabongo nawajua vizuri.. hakuna wa kupigana na mtu wala kushika mtutu.
Akwilina alipopigwa risasi yalikua ni jogging club?? Ile mikutano ya kina Heche na Msigwa haina numbers??Mbona nyinyi nyumbu mnashindwa andamana, you know why, coz u don't have neither the support nor the number. So hata mkishika guns, mtakuwa outnumbered and killed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hawa CCM wabana sana alafu wenyewe wanagawana cake ya taifa peke yao asehKwahyo tukiweka madarakani Chadema na mbowe ndo nchi yetu itatulia??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,nikweli kabisa hata hizo nchi wanazopigana Vita wanatamani kujiondoa Ila wanashindwa nikwasababu Kuna mataifa yaliyojipenyeza kuhakikisha amani haipatikani kwa maslahi yao binafsi,na ukichukulia rasilimali tulizonazo watanzania,Gas,madini,misitu,mbuga za wanyama ni vigumu Sana kutuacha salama.Naona wenye mamlaka wajitathmini vizuri kuhusu manung'uniko ya raia yanayoendelea maana waswahili wanasema "MOTO HUANZA NA MOSHI"Hata wewe mleta mada unavyoongea ni kama vile ukipewa Silaha utaingia vitani kama muasi!
Any way hata hizo Nchi unazozitaja wanatamani kuondokana na vita lakini wanashindwa!
Jambo la pili ufahamu kushika mtutu wa bunduki kama muasi hakutakukutatulia changamoto zako zaidi ya kuishia kuishi porini maisha yako yote! Ingawa nakubaliana na na wewe kwamba watawala waangalie namna yao ya kutawala lakini hilo la vijana kushika mtutu bado kutawafanya waendelee na shida zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini sana na unayoyaandika. Mafunzo ya kijeshi ni habari nyingine usifananishe naemuhadhara wa Chuo kikuu. Mafunzo ya kijeshi ni kuua watu na kuokoa watu. Mtu yeyote mwenye mafunzo ya kijeshi kabla kuhitimu mafunzo yake anakula kiapo cha milele Atailinda na kuitetea Tanzania katika Hali yoyote na wakati anahitimu anawaona walio bora zaidi yake ndani ya hayo hayo mafunzo. Hivyo anajua wazi nikichokoza nimekwisha. Sasa usitegemee kukuta hiyo hoja yako inafanya kazi hapa Tz.Wenye mamlaka wanalo la kujifunza japo ngozi nyeusi ni vigumu sana kutokujimwambafy pale wanapopata madaraka.
Hakika huku mtaani kila ninapopita vijana wanashangilia na wanaona kama USA na washirika wake hawajachukua hatua stahiki inabidi aongoze vikwazo au kama walivofanya Libya, vijana wawili kati ya ambao tulikuwa tunapiga nao stori kijiweni wao wanasema wamepitia JKT na wanasema kama ikitokea kama Libya hapa nchini wao wako tayari Kushika SMG na AK47 kupigana dhidi ya serikali yao. Ni habari ya kusikitisha kabisa lakini ndiko tulikofikia.
Viongozi angalieni namna mnavyotawala hata kama si leo iko siku mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi, watu wanaonekana kuwa na manung'uniko mengi wanasubiri litokee la kutokea waoneshe hasira zao. Acheni kuwasikiliza hao wanaowapaka mafuta kwa mgongo wa chupa eti kila anaelalamika ni MPIGA DILI, Nyumbu, mara vyeti feki, mhujumu, katumwa na mabeberu, si mzalendo na majina mengine yasiyofaa huku wao lengo lao ni kujineemesha.
Mimi ni mlalahoi tu ila kwa ninayoyaona na kuyasikia huku mtaani serikali ijenge umoja wa kitaifa na kuwarudisha watu wake pamoja bila migawanyiko iliyoko sasa ni mibaya adui akituingilia ni rahisi kutumaliza.
Asubuhi njema
mkuu huenda hujanielewa,Mjadala unasema waTZ hawawezi kupambana na serikali kudai haki.... Ssa hao waislam ni wanyarwanda ama??
Btw vurugu kule Pemba zilikua za kidini 1999?? Vp vurugu za mwanza uchaguzi 2010 ilikua dini hadi watu kuchoma magari na nyumba?? Kule mbagala 2015 mie nlishuhudia vurumai kubwa sana, hadi kura zikachomwa na shule ya msingi kuvamiwa,watu kupigwa..... Mabomu na risasi kurindima hadi uchaguzi ukafutwa
ile ilikua ya kidini??
Kama hao wapinzani hawana uwezo wa kuleta vurugu maandamano huwa mnazuia ya nni?? Siku ile Akwilina alipokufa walikuwa wanayarwanda walioandamana?? Vp vurugu za Arusha 2011 hadi kituo cha polisi kuchomwa na wanachadema almost 10 kuuawa??
Msiwachukulie wabongo poa, otherwise mikutano ya upinzani isingezuiwa.
So u embicile thinks, chadema mtamshinda magufuli, hata iwekwe tume gani, kumshinda jiwe ni ndoto za mchana.Akwilina alipopigwa risasi yalikua ni jogging club?? Ile mikutano ya kina Heche na Msigwa haina numbers??
Maandamano hakuna aliyeshindwa ila mnayaogopa..... Mkiruhusu maandamano ya amani alafu watu wasijitokeze ndio mtakuwa na moral authority otherwise mnajitia moyo tu hku mkiujua ukweli moyoni.
70% ya wapiga kura 2020 ni Millenials to them CCM is nothing...... Hao ndio hawana ajira na wengi ni vijana mtawaconvince kwa kipi?? Na CHADEMA base yake ni millenials na mnafahamu hilo ssa kma mnajiamini tune huru kivp muogope??
Embiciles
Tuliache hili mkuu, huu mjadala hauta ishaTuache cherry picking Pemba 1999 na Mbagala 2015 ilikua ni dini??? Issue hpa sio dini au siasa issue ni je watanzania wanaweza ingia barabarani.
Hta huko mtwara au kibiti ni wanyarwanda?? The cause doesn't matter..... Ila reaction yake sio uliona??
Kila mtu ana red line ya tolerance so ukivuka mstari uvumilivu unafika mwisho. So msifanye waTZ wapumbavu kihivyo.
NB: kibiti wasiojulikana ni warundi??
Sasa kuprove wrong is muweke tume huru. What's so hard, ili ashinde kwa 99% bila ubishi.So u embicile thinks, chadema mtamshinda magufuli, hata iwekwe tume gani, kumshinda jiwe ni ndoto za mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa hawa CCM wabana sana alafu wenyewe wanagawana cake ya taifa peke yao aseh
Mkutano yakisiasa wanataka wafanye wao tu kama nchi ya peke yao
Ajira wanajipa wenyewe tu hadi vyeo viwili ila ajira za wananchi wamebana
Posho na marupurupu wanagawana wenyewe tu
Wana mfavor Bashite kupendeleana
Wanabana mianya yote ya sis kutoboa alafu wenye wakula keki ya taifa tu na wototo wao yaani wamebana hadi you tube aseh tulipe kodi eti
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu yangu.. kwa nini umeamua kunitukana mkuu?Una mawazo ya kisengerema kweli. Hivi watanzania wapumbavu kama wewe unavowaza!