tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

tanzania imeingia kwenye Nchi 5 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Kwa mujibu wa makadirio ya kimataifa ya hivi karibuni hizi ni miongoni mwa nchi zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV
  1. South Africa – Takribani milioni 8.3
  2. India – Takribani milioni 2.5
  3. Mozambique – Takribani milioni 2.4
  4. Nigeria – Takribani milioni 2.0
  5. Tanzania – Takribani milioni 1.7

Ujumbe
Takwimu hizi si za kutisha au kuwahukumu watu wanaoishi na HIV, bali ni ukumbusho kwamba HIV bado ipo na inaweza kumpata mtu yeyote. Furaha ya muda mfupi inaweza kuleta majuto ya muda mrefu.Jilinde kwa kufanya maamuzi salama, epuka ngono zembe
Kinga ni bora kuliko tiba. Afya yako ni jukumu lako.
 
Kiuhalisia 1.7 x 5
 
Minaona tunaongoza dunia...🤥
IMG-20260625-WA0000.jpg
 
ni vyema Hoteli, AirBnB, Guest Houses na Lodge
NIDA itumike hii itasaidia hata kubaini machangudoa wanaosambaza vimelea
 
Vijana punguzeni kuuza mechi, vilainishi (lubricants) hazizuii maambukizi

Chezeni salama
 
Back
Top Bottom