Tanzania imepata "Mbeba Maono " ambaye ni Lissu ila haijapata watembeza maono bado hawajapatikana

Tanzania imepata "Mbeba Maono " ambaye ni Lissu ila haijapata watembeza maono bado hawajapatikana

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
KIROHO ili Familia isonge mbele , au nchi isonge mbele , huwa haitajiki MTU mwenye mali na fedha pekee Ila anahitajika mbeba maono.

Ndo maana mmeona yule jamaa alikuwa na Mali hazina idadi , Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa na MAISHA.

Issue huwa sio PESA wala dhahabu na mali Ila maono.

Kikawaida familia ikikosa mbeba maono hiyo familia haiwezi kuondoa Poverty generation

The same nchi au TAIFA .

Ndo mmekuwa mkiona kanchi kadogo Sana Ila kanaisasia linchi likubwa misaada kila siku tena linchi lenye rasilimali za kutosha , dhahabu, maziwa , bahari , ardhi n.k.


Kwa Mara ya kwanza tumepata Mbeba maono ambaye ndo TAL anayepitia misuko suko .Ila maono ili yatimie lazima wapatikane watu wa kuyatembeza.

KIROHO tunabidi tusikae na huzuni kwakuwa mbeba Mao no huwa hafi na akifa maono yake yataendelea kuishi."You. Can kill revolutionist but you can't kill revolutionary.
 
Back
Top Bottom