Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

Hizi ngonjera tumezoea kuziskia kila awamu ya uongozi,uliokuwepo madarakani.
Hata sasa hakuna jpya,tulianza kwa tundu lisu akidai Rais n dictecta,kwa sasa yy ndo anataka urais na ww unakuja na ngojnera zilezile,tutaskia ukitangaza nia kutaka urais.

Siasa mchezo mchafu.
 

Swali dogo kwako mhe zito

Nini kifanyike kunusuru hali hii? Maana muda si mrefu utasikia katiba inabadilishwa kipengere cha ukomo wa rais, which can be taken as the measures?
 
Bado unahangaikia hela ya kule karne hii, badala ya kuhangaikia pesa ya maendeleo? Kweli tunapishana mitazamo!
 
We ZZK, unapowasifu Mahathir Mohammed na Lee Kun Yew kuwa ni waandishi wa vitabu, hata wa kwetu pia ni mwandishi mzuri tuu wa thesis ya kemia Ben Saanane aliileta humu, hivyo kuwa mwandishi sii hoja.

Unapomsifu Kagame na Meles kuwa ni wasomi wazuri wa Havard Bussiness Review-Journal, hata wa kwetu ni msomi mzuri wa JF.

The truth, is JPM ni genius.
P
 
Naona wewe ni wale wale, ungekuwa una muda kidogo wa kusoma madikteta wa Duniani usingeandika Hata.

Baath Party ya Iraqi uliifahami, je chama cha Hitrer unakijua kilianzaje? Je wanachama kama wewe washanhiliaji waliendelea kushangilia?

Mmezidiwa akili na mtu mmoja ambaye nahisi alitakiwa asiwazidi, sidhani kama ana IQ kubwa kuzidi wengiwenu, msichotaka kukiri ni kuwa kama tinavyo shughulikiwa sisi wapimzani nyie mmejazwa hofu, mkija kustuka ntakuwa mmechelewa hamtaweza kufanya chochote
 
Kweli kwa mujibu wa madai/maandiko yale ya Ben Saanaane,jamaa kweli ni genius.
 
Well said mkuu, lakini kabla ya kufika bungeni kuna mchakato ulifanyika. Nani alitoa wazo la mswada huo? Hata hivyo bunge likipitisha sio lazima Rais asaini. Hivyo, asisaini huo mswada ili kuonyesha tatizo ni bunge sio yeye!
 
Siasa za mtandaoni zimeshakuchanganya.
Unataka akafanyie Chumbani kwa mama yako akiwa anamduu! Mmetufunga mikono Nyuma na Policcm na TISS yenu mnataka wakaongelee wapi na hali ninyi mnakampein kila eneo! Lakini mwisho wenu Utakuwa Mbaya!
 
Mheshimiwa umeelezea mada yako kwa kina, na kama kawaida wapo wanaokuunga mkono na wapo pia wanaokupinga kwa hoja na hata pia kwa vijembe na kejeli za kila aina!

Ombi langu kwako; ungemalizia mada yako kwa kutoa na hitimisho. Nini kifanyike kwa mwananchi wa kawaida na Taifa kwa ujumla kwa hayo yote uliyoeleza? Kinyume na hapo wadau wengine wasiogemea upande wowote tutaona ni mwendelezo tu wa siasa na wale wa upande pendwa wataona ni kelele tu za chura!
 

Uhuru wa mtu hauwezi kununuliwa kwa pesa yoyote ile; maendeleo bila uhuru ni bure. Anajenga chuki ambayo mimi na wewe tutaijutia hapo baadaye. Kama walivyosema wenye lugha yao "better is a dinner of herbs where love is, than a stalled ox and hatred therein". Time will tell.
 
Hivi uyu ni mwenyekiti katika kamati yoyote ya bunge kwenye utawala JPM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…