Tanzania ina aina ya ulinzi wa tofauti kabisa. Si rahisi kuingizwa kwenye shimo kirahisi kama Sudan au Libya

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.

The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu. Rais Samia juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.

Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeunga mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.

Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai. Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu. Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.

Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko. Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana. Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.

Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
 
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma.
Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wazalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu.
Rais juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeungua mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai.
Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu .
Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko.
Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana.
Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Wewe mjinga nani anataka kuiingiza Tanzania kwenye shimo kama Sudan au Libya zaidi ya watekaji, wapotezaji na wauaji raia kiholela??
 
1764911883931.jpeg
...
1) AMANI.
2) AMANI.
3) AMANI.
 
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma.
Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wazalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu.
Rais juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeungua mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai.
Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu .
Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko.
Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana.
Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Mnachosahau ni ROOT cause ya haya maandamano na mauaji.
Chanzo ni Chura Kiziwi kukaa kimya wakati Watu kwa mamia wanaTEKWA, wanaUAWA, na KUPOTEA na vikaragosi wake akina MULIRO, IGP na UVCCM kusema kuwa hawahusiki. Hofu ya watu na vijana wengi ndiyo iliyofanya watafakari zaidi kwa sababu wao ndiyo VICTIMS.

Chura Kiziwi akaanza kutamba kuwa yeye hawaezi kufanywa kitu, akamfunga ndani Lisu, akabadiri katiba ya CCM angani kujipitisha yeye na Nchimbi bila ya ridhaa ya Chama. Kaendelea na mambo na Mchengerwa akaanza kutoa matamko, watu wakaendelea kuuawa, tukaona Mdude kapotea, Polepole kapotea, na wengine wengi.

Kiziwi akaanza kujiita Mimi ndiyo Amiri jeshi Mkuu, akaanzisha msemo Nywi Nywi Nywi, na mipasho. Akaja na na matokeo ati kapata kura 98%; na watu 37 millioni wamepiga kura. Hivi hadi hapo unaona hawa vijana wanangojea watumwe na mtu, wao wenyewe hawaoni? Huyu Chura Kiziwa aka Simba Jike hatumii akili, hakuna mtu anayewatuma.

Usipoziba ufa utajenga ukuta. Samaki mkunje angali mbichi. Hayawi hayawi yamekua. Maji yakimwagika hayazoeleki. Yashamwagika. Tukutano ICC
 
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.

The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu. Rais Samia juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.

Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeunga mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.

Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai. Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu. Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.

Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko. Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana. Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.

Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Kuua, kuteka, kufira watu wafanye CCM wananchi wakichukua hatua mnasingizia mabeberu.

Kweli ccm ni mashetani na wapumbavu kuoindukia.

Mna ulinzi gani nyie? Juzi tu M23 wameaashughulikia pale Goma hadi mmekimbia na kuacha silaha.

Hao tiss akili zao ni kufuatilia chadema na kugombania wanawake tu ndo mnadai mna ulinzi?
 
Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.

The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu. Rais Samia juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.

Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeunga mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.

Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai. Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu. Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.

Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko. Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana. Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.

Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Uzalendo ni kuteka na kuua watu? Kenge wa madoa doa wewe
 
tofautisha kati ya terror dhidi ya wananchi wasio na silaha wala mafunzo ya kijeshi na real war against well trained millitary, hiyo ya pili mtasalimu amri ndani ya nusu saa tu, ya kwanza sawa mtaonyesha ubabe wenu kwa walemavu, wajawazito, mademu wa tiktok au vijana wasio na mafunzo ya kijeshi …
 
Tunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.
Hivyo vi SMG vya kuuziwa na m23 serikali ya Tanzania ilishatoka , Ni visilaha vya kizamani.
Tutawachakaza mpaka mavi yawatoke. Waulize Alshabab kule Mocambique
 
Unazungumziaje matukio ya utekaji na wizi wa kura unaoendelea?
 
Tunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.
Hivyo vi SMG vya kuuziwa na m23 serikali ya Tanzania ilishatoka , Ni visilaha vya kizamani.
Tutawachakaza mpaka mavi yawatoke. Waulize Alshabab kule Mocambique
2021 walichinja Afande na kifaru yake mbovu aliyokuwa akitest Kisha wakamuwekea Bomu humohumo.

Ya Mozambique atakuja akueleze TumainiEl
 
Tunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.
Hivyo vi SMG vya kuuziwa na m23 serikali ya Tanzania ilishatoka , Ni visilaha vya kizamani.
Tutawachakaza mpaka mavi yawatoke. Waulize Alshabab kule Mocambique
Uvccm kichwa kimejaa ushoga anawaza kutolewa mavi tu. Jinga kabisa hili hata ukilipeleka jela haisadii
 
Bahati nzuri hizi tambo za watawala ndiyo route cause za machafuko kwenye nchi nyingi. Kumbuka wale PSU wa Samia na maaskari wote wanaishi na familia zao mitaani.
Hivyo basi jaribu kuwa na akiba ya maneno.
Yaani mtoa mada kwako wananchi wakipotezwa na kubakwa ni furahaa kwako.
 
Nianze kwa kusema wewe ni mpumbafu Wala sio mjinga!... Pia njaa yako ni Kali kuliko yetu ,,yetu ipi kichwani yako ipo tumboni!..
NB: mpe mtu Kila KITU ila ukimnyima haki na uhuru hutoboi ni swala la muda tu uwe unataka au hautaki lazima mabadiliko yatokee
 
1. Acha ukamataji wa Raia kiholela.
2.Acha utekaji kwa mlengo wa kisiasa
3.Kwa mauaji yaliyo tokea, Atleast futa kazi IGP, CDF, DIGIS, Mkuu wa uhamiaji.
4.Kesi za kisiasa za kina TAL and the like futa.
5.Maridhiano na Jamii, Makundi yoote
6. Rudisha miili ya watu, Wakazike ndugu zao kwa heshima, kwenu ni Wahaini ila kwetu ni wake watoto na majirani zetu

Mengine yoote yatakua unfolded smoothy.

Ila kama mmeamua kibidhana ubavu na Raia mnao waongoza, Sawa.
 
Bahati nzuri hizi tambo za watawala ndiyo route cause za machafuko kwenye nchi nyingi. Kumbuka wale PSU wa Samia na maaskari wote wanaishi na familia zao mitaani.
Hivyo basi jaribu kuwa na akiba ya maneno.
Yaani mtoa mada kwako wananchi wakipotezwa na kubakwa ni furahaa kwako.
Kama wajinga sawa tu wakifa napata raha sana.
Kimwanamke chembamba chenye HIV kinakujaza upepo unaandamana. Sasa ukifa kuna shida gani?
Ngoja nikupe kionjo kidogo.
Imeamriwa mara itakapotokea fujo tu serikali itatangaza hali ya dharula eneo husika hatafuatwa mtu ndani kwake ila atakayekutwa barabarani ndugu zake waandae kaburi la kuzika viatu vyake
 
Back
Top Bottom