Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wewe mjinga nani anataka kuiingiza Tanzania kwenye shimo kama Sudan au Libya zaidi ya watekaji, wapotezaji na wauaji raia kiholela??Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma.
Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wazalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu.
Rais juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeungua mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai.
Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu .
Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko.
Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana.
Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Mnachosahau ni ROOT cause ya haya maandamano na mauaji.Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma.
Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wazalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu.
Rais juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeungua mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai.
Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu .
Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko.
Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana.
Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Kuua, kuteka, kufira watu wafanye CCM wananchi wakichukua hatua mnasingizia mabeberu.Kuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu. Rais Samia juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeunga mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai. Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu. Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko. Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana. Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Uzalendo ni kuteka na kuua watu? Kenge wa madoa doa weweKuna vijana Libya walikuwa front line kuhakikisha Gaddafi anaondolewa Libya bila ya kujua kuwa nyuma yao kuna nguvu ovu inawasukuma. Vijana wengi wa Libya walipambana na serikali yao wakijidhani wamevaa vazi la uzalendo kumbe ni mipango iliyosukwa kwa ustadi na waroho wa rasilimali za Libya.
The same Tanzania, vijana wengi waliingia barabarani tarehe 29 September kwa mwavuli wa Uzalendo kumbe wenzao wachache wanaishi ughaibuni kwa kutegemea hizo vurugu. Rais Samia juzi kasema sasa kinachofuata ni maridhiano then kwa haraka katiba mpya itakuja.
Katiba mpya ni kilio cha upinzani kwa miaka mingi lakini pamoja na kuambiwa katiba mpya inakuja muda si mwingi lakini hakuna mchochezi hata mmoja aliyeunga mkono hiyo issue ya katiba mpya, so far hata wapinzani wenyewe hawajatoa kauli ya kuwaambia vijana wavumilie maana katiba mpya ambayo ndani yake ina mabando ya majibu yote.
Hii maana yake nini?
Hii maana yake ni kwamba shari na vurugu kwa baadhhi ya watu ni muhimu kuliko katiba mpya waliyokuwa wakiidai. Nawaambia kuwa hakuna kijana mchochezi au atahusika kupanga vurugu asifikiwe. Kila mtu atafikiwa tu. Polisi kila siku itaendelea kuwadaka na kuwaweka ndani wote wanaopanga uovu.
Hii ni Tanzania sio Kongo. Kama umekubali kuwa dekio la Wazungu ni vyema harakati zako kafanyie ukiwa nje huko. Tarehe 9 ukitoka tu kushindana na serikali wazazi wako watalia sana. Kuna mashine mpya za kisasa zimeingia kwa wingi sana.
Nchi itakuwa ya amani.
Hutaki hama nchi
Tunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.tofautisha kati ya terror dhidi ya wananchi wasio na silaha wala mafunzo ya kijeshi na real war against well trained millitary, hiyo ya pili mtasalimu amri ndani ya nusu saa tu, ya kwanza sawa mtaonyesha ubabe wenu kwa walemavu, wajawazito, mademu wa tiktok au vijana wasio na mafunzo ya kijeshi …
2021 walichinja Afande na kifaru yake mbovu aliyokuwa akitest Kisha wakamuwekea Bomu humohumo.Tunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.
Hivyo vi SMG vya kuuziwa na m23 serikali ya Tanzania ilishatoka , Ni visilaha vya kizamani.
Tutawachakaza mpaka mavi yawatoke. Waulize Alshabab kule Mocambique
Uvccm kichwa kimejaa ushoga anawaza kutolewa mavi tu. Jinga kabisa hili hata ukilipeleka jela haisadiiTunawasubiri kwa hamu sana tuwatoe mavi.
Hivyo vi SMG vya kuuziwa na m23 serikali ya Tanzania ilishatoka , Ni visilaha vya kizamani.
Tutawachakaza mpaka mavi yawatoke. Waulize Alshabab kule Mocambique
Kama wajinga sawa tu wakifa napata raha sana.Bahati nzuri hizi tambo za watawala ndiyo route cause za machafuko kwenye nchi nyingi. Kumbuka wale PSU wa Samia na maaskari wote wanaishi na familia zao mitaani.
Hivyo basi jaribu kuwa na akiba ya maneno.
Yaani mtoa mada kwako wananchi wakipotezwa na kubakwa ni furahaa kwako.