Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable
Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
16493235947_b1ab0c2646_b (1).jpg
 
Kigali waliweza tu usafi na ustaarabu ila bado wana asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye slums. Ni vile tu slums zao ni safi ila nao bado wana kazi nzito

Slums za Kigali
View attachment 3680876View attachment 3680877
Kigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer Park
 
Kigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer Park
Yeah, hata Ulaya wana slums
Ila sasa sio kama huku ambako unakuta slums zimesambaa sana. Kwa mfano Mbeya sehemu kubwa ya mji ina slums, serikali ingeanzia kule.
 
Inaanzia tandika huko serikali inataka kulipa fidia,buguruni,tandale,mburahati na baadhi ya maeneo ya magomeni automatic yanaondoka kuwa uswazi sababu wenye pesa wananunua maeneo hayo na kutengeneza nyumba za kueleweka zenye mipangilio mizuri
Inabidi wafanye hivyo, ikiwezekana hata kuwahamisha kwa force watu wanaokataa fidia maama wamejua kuichafua Tanzania na ujenzi holela
 
Shida ni asilimia ngapi ya jimbo la California lina slums?
Sawa zipo, kwa asilimia ngapi? Maana state ya California miji waliyonayo huku hata mmoja tu natamani ungekuwepo Tanzania
Sasa hapo si karibu robo tatu ya dar yote ni slums🤣
 
Inaanzia tandika huko serikali inataka kulipa fidia,buguruni,tandale,mburahati na baadhi ya maeneo ya magomeni automatic yanaondoka kuwa uswazi sababu wenye pesa wananunua maeneo hayo na kutengeneza nyumba za kueleweka zenye mipangilio mizuri
Hakujengwi nyumba bali ni bandari kavu
 
Tanzania slums zetu hazitishi jiran yetu Kenya si mnaona mambo yao slums iliyopo kule tz haichungulii
Hhahaha kibera hapa🤣 dar ina slums kwa eneo kubwa kuliko kenya , sema tu slums za kenya ndio zinatisha kwa kuzitazama
 
Ondoa kwanza umasikini na slums zitaondoka zenyewe.
Sasa hii si tutasubiri hadi 2100?
Kwa nini wasijenge makazi bora kwa wananchi hadi wa kipato cha chini wakati tunaendelea kupambana na umasikini?
Na slums za Bongo nyumba zao ukizirenovate kidogo tu zinapendeza, sio kama za Kenya. Shida zimechakaa na zimepangiliwa hovyo. At least zingekuwa zimepangika
 
Back
Top Bottom