Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

Tanzania ina mpango wowote kwa kueliminate uswazi?

Kigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer Park
Skid Row sidhani kama ni Slum ,ni homeless wamejiamulia mambo tu ya kuishi nje kwenye matent.
 
Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable
Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
View attachment 3680873
Katika vitu ambavyo serikali haifikirii mbali ni kuhusu Tatizo la slums kwenye majiji.

Sehemu kama Kigogo , Jangwani , Mwananyamala ,Tandale ,Manzese ,Buguruni ,vingunguti ,Mabibo,sinza ni kuvunja na kujenga Skyscappers ,malls ,apartment ,amusements parks ,supermarkets na vitu vinavyofanana na hivyo ,halafu wakazi wa huko mnawajengea Housing Projects kama za KAwe zile za Samia Housing Projects nje ya mji eg Kisarawe Kazimzumbwi ,Bagamoyo Zinga ,Yaleyale Puna/Kimbiji Kigamboni kisha tunajenga njia 5 kwenda 5 kurudi zkwenye barabara Kuu za Bagamoyo ,Kilwa na Morogoro + Metro.
 
Hii plan ikikamilika Dar itakuwa unyama sana. Tena wafanye na Mwanza, Mbeya na Arusha pia utaona content creators wa nchi za Kiafrika wakifurika Tanzania kuja kuonesha maendeleo ili kupressurize government zao pia. Kama tu wanavyofurika sasahivi kuja kuexplore SGR na BRT
 
Yes ,inabidi kuondoa slums zote kwenye MAJIJI makubwa na kuyaendeleza kisasa.
 
Shida ya hizi project ndio hivyo unakuta wakazi wa slums wenyewe hawataki kuhama
Hawataki kwasababu kuna madalali/WAHUNI wanataka kufaidika na kuwapunja FIDIA wakazi ,we unafikri Mkazi wa hapo ukampa KIBUNDA cha Fidia cha maana unafikiri atakataa?
 
Sasa hii si tutasubiri hadi 2100?
Kwa nini wasijenge makazi bora kwa wananchi hadi wa kipato cha chini wakati tunaendelea kupambana na umasikini?
Na slums za Bongo nyumba zao ukizirenovate kidogo tu zinapendeza, sio kama za Kenya. Shida zimechakaa na zimepangiliwa hovyo. At least zingekuwa zimepangila

Huo mpango unaanzia kwako! Umeishanunua nyumba za slums ngapi unazozivunja na kujenga mgorofa badala yake?
 
Kuna TEMEKE, SINZA, TANDALE, MAGOMENI, MABIBO, MANZESE, etc. hizi sehemu hapana kwa kweli
Temeke ipi?
Temeke wailesi ni mitaa iliyo pangika vizuri sana.

Temeke pile kule napo kumepangika vizuri sana

Temeke msikiti wa Tungi napo pamepangika vizuri sana Hadi hospital

Sokota imepangika

Mwembeyanga imepangika vizuri mno

Tandika Hadi sambwisi ipo vizuri mno

Temeke Chang'ombe ipo vizuri ila lazima ujue Chang'ombe ipi?

Embu tuelezee ulisema Temeke una maanisha nini?
 
Tatizo ujenzi holela unaendelea kujengwa
Maeneo mengi tu.

Miji inapanuka na hakuna hatua zinazo chukuliwa.

Leo hii Chanika, Zingiziwa, Mvuti, Dondwe, kidole, kitonga, Msongola,Mbondole, kisewe, Mbande, Chamazi.

Miaka ya 2005 hakukuwa na majengo mengi ila Leo kumeshakuwa uswazi hata kama nyumba ni mpya.

Unajiuliza serikari ilikuwa wapi kupima haya maeneo kabla watu hawajayaangalia kwa jicho makini.

Leo hii serikari ya mkuranga inaacha kata ya Tambani ijengwe hovyo maana dar imejaa.

Unajiuliza hawaoni!
Au wanasubiri miaka 20 ijayo
Walaumu watu kwa ujenzi holela?

Kwa nini maeneo yasipimwe na kuuza kwa gharama zile zile za wenyeji?

Upimaji wa maeneo utolewe kwenye biashara na uingizwe kwenye huduma ya msingi
 
Hii ni junky yard! Uswazi za USA ni projects au vinyumba vidogodogo vichafu ila viko kwenye mstari na vina huduma zote za jamii.

Ila bdo ni mfanano wa slum Africa just imagine hapo ni downtown kabisa
 
Temeke ipi?
Temeke wailesi ni mitaa iliyo pangika vizuri sana.

Temeke pile kule napo kumepangika vizuri sana

Temeke msikiti wa Tungi napo pamepangika vizuri sana Hadi hospital

Sokota imepangika

Mwembeyanga imepangika vizuri mno

Tandika Hadi sambwisi ipo vizuri mno

Temeke Chang'ombe ipo vizuri ila lazima ujue Chang'ombe ipi?

Embu tuelezee ulisema Temeke una maanisha nini?
Unapitaga barabarani, ulishawahi kuingia wewe Tandika ndani ndani, mwembeyanga kule kwa mateja huwezi kuwa na hamu napo tena kiufipi temeke haijapangika labda kama unapita barabarani, halafu hapa tunaongelea slums na sio kupangika
 
Back
Top Bottom