2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,232
- 4,927
Gharama kubwa sana, shida usimamizi wa sheria hamnaKama Kigali Rwanda na Adis Ababa Ethiopia waliweza kwa 100% hata dar inawezekana ni mipango tu
Gharama kubwa sana, shida usimamizi wa sheria hamnaKama Kigali Rwanda na Adis Ababa Ethiopia waliweza kwa 100% hata dar inawezekana ni mipango tu
Pesa za kujengea kila mtu masikini makazi bora zinatoka wapi?Sasa hii si tutasubiri hadi 2100?
Kwa nini wasijenge makazi bora kwa wananchi hadi wa kipato cha chini wakati tunaendelea kupambana na umasikini?
Sio kujengea kila mtu masikini nyumba. Kueliminate slums. Slums zinapatikana mijini tu. Na zinajulikanaPesa za kujengea kila mtu masikini makazi bora zinatoka wapi?
Wawajengee maghorofa?Sio kujengea kila mtu masikini nyumba. Kueliminate slums. Slums zinapatikana mijini tu. Na zinajulikana
Naongelea maeneo specific kama Mabatini Mwanza, Mabatini Mbeya, na kwa Dar huko Tandale sijui Vingunguti nk
Sijasema wajengee kila masikini nyumba. No no no, sio kila masikini anakaa mjini kwenye mitaa iliyopangika hovyo. Wengine wapo vijijini huko ambako hawana shida za mipangomji. Fuatilia affordable housing project zinazofanywa Ethiopia labda utaelewa namaanisha nini
Huwezi kujengea maghorofa watu wa kipato cha chini. Wengi makazi yao ndiyo workshops zao. Mtu hawezi kuuza mkaa, genge, kupika vitumbua, kuuza supu, miguu ya kuku, pombe za kienyeji au kusuka watu nywele ghorofani huko. Ni sawa na kujengea machinga soko. Ni mambo wanafanya viongozi wenye uelewa mdogo.Ndio wajenge maghorofa, hii ndio njia effective inayotumika kujenga makazi bora kwa watu wengi wenye vipato vidogo kwenye miji mikubwa, ujenzi wa maghorofa
Basi China na Singapore viongozi wao wenye uelewa mdogo leo hii wamefanya raia wao wawe na makazi bora kwa kujenga maghorofa. Heri kuwa kiongozi mwenye uelewa mdogo kwa style hiiHuwezi kujengea maghorofa watu wa kipato cha chini. Wengi makazi yao ndiyo workshops zao. Mtu hawezi kuuza mkaa, genge, kupika vitumbua, kuuza supu, miguu ya kuku, pombe za kienyeji au kusuka watu nywele ghorofani huko. Ni sawa na kujengea machinga soko. Ni mambo wanafanya viongozi wenye uelewa mdogo.
Hao wamekuza uchumi. Watu hawaishi kwa kupika vitumbua sebuleni. Kuza uchumi na slums zitaondoka zenyewe.Basi China na Singapore viongozi wao wenye uelewa mdogo leo hii wamefanya raia wao wawe na makazi bora kwa kujenga maghorofa. Heri kuwa kiongozi mwenye uelewa mdogo kwa style hii
Kuna faida gani ya kuwa kiongozi mwenye uelewa mkubwa na nchi yako imetapakaa slums za kutosha kwenye kila mji wako mkubwa. Uelewa wa matakataka
Slums haziondoki zenyewe. Zinabomolewa na kujenga project za makazi mapya at the same time mnakuza uchumi wa nchiHao wamekuza uchumi. Watu hawaishi kwa kupika vitumbua sebuleni. Kuza uchumi na slums zitaondoka zenyewe.
Labda kama lengo ni kufukuza watu wa kipato cha chini mijini. Hilo hata China wameweza. Huwezi kwenda kuishi mji kama Shanghai utakavyo. Na ukienda mwanao hawezi hata kupata shule.Slums haziondoki zenyewe. Zinabomolewa na kujenga project za makazi mapya at the same time mnakuza uchumi wa nchi
Sio kwamba eti unakuza uchumi pekee na utegemee slums ziondoke bila mipango yoyote. Hakuna kitu kama hicho
China wameanza project za kueliminate slums kitambo sana wakati wananchi wao bado masikini
Basi sawaLabda kama lengo ni kufukuza watu wa kipato cha chini mijini. Hilo hata China wameweza. Huwezi kwenda kuishi mji kama Shanghai utakavyo. Na ukienda mwanao hawezi hata kupata shule.
Kuza uchumi na slums zitaondoka zenyewe. Slums ni zaidi ya nyumba kutokuwa kwenye mstari.
wAnaharakati wao wanasema paanze kuuzwa posta kabla ya tandikaInaanzia tandika huko serikali inataka kulipa fidia,buguruni,tandale,mburahati na baadhi ya maeneo ya magomeni automatic yanaondoka kuwa uswazi sababu wenye pesa wananunua maeneo hayo na kutengeneza nyumba za kueleweka zenye mipangilio mizuri
JAmbo hilo ni karibu dunia nzima , miji mikubwa masikini hawezi mziki wake, anachoweza kufanya masikini kwenyw miji mikubwa ni kazi tuLabda kama lengo ni kufukuza watu wa kipato cha chini mijini. Hilo hata China wameweza. Huwezi kwenda kuishi mji kama Shanghai utakavyo. Na ukienda mwanao hawezi hata kupata shule.
Kuza uchumi na slums zitaondoka zenyewe. Slums ni zaidi ya nyumba kutokuwa kwenye mstari.
Ukiwa unaland miji ya watu huko,katikati ya jiji unakuta maviwanda,makazi ya watu uwa yapo nje kidogo ya mji,halafu sidhani kama tandika yote itakua bandari kavuHakujengwi nyumba bali ni bandari kavu
Unaweza kuwa na ghorofa ila bado ukawa ni mtaa wa slums tu, kama hakuna maji , vyoo bora hati miliki na mpangilio maalumu wa ujenziUkiwa unaland miji ya watu huko,katikati ya jiji unakuta maviwanda,makazi ya watu uwa yapo nje kidogo ya mji,halafu sidhani kama tandika yote itakua bandari kavu
Mkuu wa wilaya ya Temeke alitangaza ni kata 13 zitaondolewaUkiwa unaland miji ya watu huko,katikati ya jiji unakuta maviwanda,makazi ya watu uwa yapo nje kidogo ya mji,halafu sidhani kama tandika yote itakua bandari kavu
Ndio maana nchi kama China walijenga makazi bora. Sio maghorofa peke yakeUnaweza kuwa na ghorofa ila bado ukawa ni mtaa wa slums tu, kama hakuna maji , vyoo bora hati miliki na mpangilio maalumu wa ujenzi
Kwahiyo Dubai na Ulaya wao watatusubiri tu sisi mpaka pale tutakapokua kama wao?Kuweni na subira Tanzania itakuwa kama Dubai ama Ulaya