Kigali waliweza tu usafi na ustaarabu ila bado wana asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye slums. Ni vile tu slums zao ni safi ila nao bado wana kazi nzitoKama Kigali Rwanda na Adis Ababa Ethiopia waliweza kwa 100% hata dar inawezekana ni mipango tu
Kigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer ParkKigali waliweza tu usafi na ustaarabu ila bado wana asilimia kubwa ya watu wanaoishi kwenye slums. Ni vile tu slums zao ni safi ila nao bado wana kazi nzito
Slums za Kigali
View attachment 3680876View attachment 3680877
Yeah, hata Ulaya wana slumsKigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer Park
Mbeya sio mji ni kijiji kilicho changamka mkuuYeah, hata Ulaya wana slums
Ila sasa sio kama huku ambako unakuta slums zimesambaa sana. Kwa mfano Mbeya sehemu kubwa ya mji ina slums, serikali ingeanzia kule.
Inabidi wafanye hivyo, ikiwezekana hata kuwahamisha kwa force watu wanaokataa fidia maama wamejua kuichafua Tanzania na ujenzi holelaInaanzia tandika huko serikali inataka kulipa fidia,buguruni,tandale,mburahati na baadhi ya maeneo ya magomeni automatic yanaondoka kuwa uswazi sababu wenye pesa wananunua maeneo hayo na kutengeneza nyumba za kueleweka zenye mipangilio mizuri
Hii ni downtown califonia, bado haujaenda San Francisco 👇Yeah, hata Ulaya wana slums
Ila sasa sio kama huku ambako unakuta slums zimesambaa sana. Kwa mfano Mbeya sehemu kubwa ya mji ina slums, serikali ingeanzia kule.
Shida ni asilimia ngapi ya jimbo la California lina slums?Hii ni downtown califonia, bado haujaenda San Francisco 👇View attachment 3680889
Hao Kenya wana hali mbaya sana linapokuja suala la slumsTanzania slums zetu hazitishi jiran yetu Kenya si mnaona mambo yao slums iliyopo kule tz haichungulii
Sasa hapo si karibu robo tatu ya dar yote ni slums🤣Shida ni asilimia ngapi ya jimbo la California lina slums?
Sawa zipo, kwa asilimia ngapi? Maana state ya California miji waliyonayo huku hata mmoja tu natamani ungekuwepo Tanzania
Hakujengwi nyumba bali ni bandari kavuInaanzia tandika huko serikali inataka kulipa fidia,buguruni,tandale,mburahati na baadhi ya maeneo ya magomeni automatic yanaondoka kuwa uswazi sababu wenye pesa wananunua maeneo hayo na kutengeneza nyumba za kueleweka zenye mipangilio mizuri
Hhahaha kibera hapa🤣 dar ina slums kwa eneo kubwa kuliko kenya , sema tu slums za kenya ndio zinatisha kwa kuzitazamaTanzania slums zetu hazitishi jiran yetu Kenya si mnaona mambo yao slums iliyopo kule tz haichungulii
Sasa hii si tutasubiri hadi 2100?Ondoa kwanza umasikini na slums zitaondoka zenyewe.