King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Skid Row sidhani kama ni Slum ,ni homeless wamejiamulia mambo tu ya kuishi nje kwenye matent.Kigali wamefanikiwa sana , japo kufuta slums ni ngumu sana , kwa sababu mjini ndio hela zipo na vijijini hakuna mzunguko kabisa, hata ulaya zipo tent City, skid Row, au trailer Park
Ni kama tu slums mkuu , tofauti ni ndogo, hawana mpangilio, makazi duni , na kuchafua mji tuSkid Row sidhani kama ni Slum ,ni homeless wamejiamulia mambo tu ya kuishi nje kwenye matent.
Katika vitu ambavyo serikali haifikirii mbali ni kuhusu Tatizo la slums kwenye majiji.Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable
Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
View attachment 3680873
Ndio yale yale tu,Skid Row sidhani kama ni Slum ,ni homeless wamejiamulia mambo tu ya kuishi nje kwenye matent.
Hii plan ikikamilika Dar itakuwa unyama sana. Tena wafanye na Mwanza, Mbeya na Arusha pia utaona content creators wa nchi za Kiafrika wakifurika Tanzania kuja kuonesha maendeleo ili kupressurize government zao pia. Kama tu wanavyofurika sasahivi kuja kuexplore SGR na BRTKatika vitu ambavyo serikali haifikirii mbali ni kuhusu Tatizo la slums kwenye majiji.
Sehemu kama Kigogo , Jangwani , Mwananyamala ,Tandale ,Manzese ,Buguruni ,vingunguti ,Mabibo,sinza ni kuvunja na kujenga Skyscappers ,malls ,apartment ,amusements parks ,supermarkets na vitu vinavyofanana na hivyo ,halafu wakazi wa huko mnawajengea Housing Projects kama za KAwe zile za Samia Housing Projects nje ya mji eg Kisarawe Kazimzumbwi ,Bagamoyo Zinga ,Yaleyale Puna/Kimbiji Kigamboni kisha tunajenga njia 5 kwenda 5 kurudi zkwenye barabara Kuu za Bagamoyo ,Kilwa na Morogoro + Metro.
Yes ,inabidi kuondoa slums zote kwenye MAJIJI makubwa na kuyaendeleza kisasa.Hii plan ikikamilika Dar itakuwa unyama sana. Tena wafanye na Mwanza, Mbeya na Arusha pia utaona content creators wa nchi za Kiafrika wakifurika Tanzania kuja kuonesha maendeleo ili kupressurize government zao pia. Kama tu wanavyofurika sasahivi kuja kuexplore SGR na BRT
Hawataki kwasababu kuna madalali/WAHUNI wanataka kufaidika na kuwapunja FIDIA wakazi ,we unafikri Mkazi wa hapo ukampa KIBUNDA cha Fidia cha maana unafikiri atakataa?Shida ya hizi project ndio hivyo unakuta wakazi wa slums wenyewe hawataki kuhama
Ukishuka na ndege Dar airport aibu utaona weweHivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable
Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
View attachment 3680873
Sasa hii si tutasubiri hadi 2100?
Kwa nini wasijenge makazi bora kwa wananchi hadi wa kipato cha chini wakati tunaendelea kupambana na umasikini?
Na slums za Bongo nyumba zao ukizirenovate kidogo tu zinapendeza, sio kama za Kenya. Shida zimechakaa na zimepangiliwa hovyo. At least zingekuwa zimepangila
Sijanunua nyumba hata moja ya slums na sijajenga ghorofa loloteHuo mpango unaanzia kwako! Umeishanunua nyumba za slums ngapi unazozivunja na kujenga mgorofa badala yake?
Tenttaani utaitaje ni slums wewe jamaa?Ni kama tu slums mkuu , tofauti ni ndogo, hawana mpangilio, makazi duni , na kuchafua mji tu
Yeah japo sio slums kabisa ila kuna ufanano mkubwa tu , ukitaka kumuua mbwa mpe jina bayaTenttaani utaitaje ni slums wewe jamaa?
Huku Malawi mtu ana hati katikati ya slums
Hii ni junky yard! Uswazi za USA ni projects au vinyumba vidogodogo vichafu ila viko kwenye mstari na vina huduma zote za jamii.Hii ni downtown califonia, bado haujaenda San Francisco 👇View attachment 3680889
Temeke ipi?Kuna TEMEKE, SINZA, TANDALE, MAGOMENI, MABIBO, MANZESE, etc. hizi sehemu hapana kwa kweli
Hii ni junky yard! Uswazi za USA ni projects au vinyumba vidogodogo vichafu ila viko kwenye mstari na vina huduma zote za jamii.
Unapitaga barabarani, ulishawahi kuingia wewe Tandika ndani ndani, mwembeyanga kule kwa mateja huwezi kuwa na hamu napo tena kiufipi temeke haijapangika labda kama unapita barabarani, halafu hapa tunaongelea slums na sio kupangikaTemeke ipi?
Temeke wailesi ni mitaa iliyo pangika vizuri sana.
Temeke pile kule napo kumepangika vizuri sana
Temeke msikiti wa Tungi napo pamepangika vizuri sana Hadi hospital
Sokota imepangika
Mwembeyanga imepangika vizuri mno
Tandika Hadi sambwisi ipo vizuri mno
Temeke Chang'ombe ipo vizuri ila lazima ujue Chang'ombe ipi?
Embu tuelezee ulisema Temeke una maanisha nini?