Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Kuondoa slums kwa haraka hiyo mnavyotaka nyie Kuna maumivu yake.....mlivyo na chuki na utawala huu nyumbu nyie mtakuja na mabilioni ya threads hapa kumlaumu Samia Hana huruma. Hamsanifiki nyie, watu wa pwani tunasema.Yeah, hata Ulaya wana slums
Ila sasa sio kama huku ambako unakuta slums zimesambaa sana. Kwa mfano Mbeya sehemu kubwa ya mji ina slums, serikali ingeanzia kule.
Hakuna dalili kama mpango upo basi utafanikiwa labda 2070Hivi kwa wale mnaofuatilia miradi ya serikali Tlaatlaah Lucas Mwashambwa Dr wa Manesi ChoiceVariable
Kuna mpango wowote wa kuondoa maeneo ya uswazi Tanzania au ndo tunaendelea kukaa nayo kwa miongo kadhaa. Maana zinachafua sana muonekano wa miji yetu
View attachment 3680873
Kama Kigali Rwanda na Adis Ababa Ethiopia waliweza kwa 100% hata dar inawezekana ni mipango tu
Sio lazima iwe haraka. Hata slow at least tuone hiyo plan ipo tujue hata miaka 20 ijayo nchi yetu itamaliza slumsKuondoa slums kwa haraka hiyo mnavyotaka nyie Kuna maumivu yake.....mlivyo na chuki na utawala huu nyumbu nyie mtakuja na mabilioni ya threads hapa kumlaumu Samia Hana huruma. Hamsanifiki nyie, watu wa pwani tunasema.
Hapo sawaSio lazima iwe haraka. Hata slow at least tuone hiyo plan ipo tujue hata miaka 20 ijayo nchi yetu itamaliza slums