nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Usijifanye mjuaji kwa akili za kizamani. Yaani umuone anayelilia jembe la mkono ni bora kuliko anayetaka shamba ligeuzwe malisho kwaajili ya ng'ombe wa maziwa?Siyo kwamba sikuelewa ulichoandika toka mwanzo hadi sasa; na ni muhimu nisisitize tena, tatizo ni hii 'mentality' mbovu kabisa uliyonayo, ya kudhani wewe unajuwa zaidi kuliko hao wengine unaowarundika kwenye kundi la waTanzania wasioelewa chochote na kudiriki kuandika upuuzi kama huu hapa:
Kama huwezi kujihoji na kuona upotofu wa maneno ya kipumbavu kabisa kama haya ni lazima utakuwa na matatizo kichwani mwako. Ndio maana niliposoma huo mfano wako wa huyo "sister" nikawa na wasiwasi juu ya tatizo linapoanzia. Tatizo ni wewe, siyo huyo "sister" wako.
Sitaki kuzungushana na wewe kama hutaki kuelewa. Tatizo siyo la waTanzania kukosa ufahamu wa wanachotakiwa kufanya kujikwamua katika hali zao za maisha. Tatizo ni hao watawala wanaolazimisha watawale wakati wakiwa hawana chembe hata ndogo ya kuwaongoza waTanzania ili wajiletee maendeleo yao.
Kwa mtu kama wewe bahati mbaya ukipewa nafasi ya kuongoza, sitegemei lolote la maana utakaloweza kulifanya kubadili chochote katika hali ya maisha ya waTanzania. Sioni tofauti yoyote na hawa watawala waliopo sasa hivi.
Hujielewi ww hata kidogo. Ulalamikie serikali wakati fursa zipo mikononi kwetu tunakinzana nazo?
Wewe u mpumbavu