Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,951
Reaction score
19,766
Inashangaza!!

Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana.

Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono maandamano,kabisa,
Nafahamu kuwa maandamano yapo kisheria Kwa mujibu wa Sheria,lakini tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana.

Nikirudi kwenye mada,Nina maswali ya kujiuliza

Shehe Mwaipopo ni nani?

Ana mamlaka gani ya kumiliki kikundi cha anaowaita ,watu wa ulinzi?

Inafahamika Kwamba Polisi akikukamata,atakupeleka mahabusu,na anamiliki Pingu za kudhibiti mhalifu,je hawa anaowaita chui weusi wakikukamata wanakupeleka wapi?

Ina maana vyombo vya ulinzi ,vimeshindwa kazi mpaka kuwepo vikundi ambavyo havijulikani?

Tanzania inaelekea wapi?

Ifahamike kwamba Polisi anaheshimika Kwa mavazi yake,

Mwanajeshi anatisha kiasi Kwa sare zake.na watu hawa wote hata wakishika silaha haishangazi kwakuwa tumezoea kuwaona wakiwa na silaha.

Swali,

Je itakuwaje pale ambapo Raia au muandamanaji atakutana na mtu ambaye si Askari,Hana kitambulisho kinachoonesha yupo jeshi gani,

Na endapo mtu huyu atamzuia muandamanaji,Kwa vyovyote kuna mmoja wapo ataumia, kwakuwa hafahamiki kama ni Askari halali.

Je serikali imeruhusu uwepo wa vikundi visivyo rasmi kujigamba watakavyo?

Huu si mwanzo wa kuanza Kwa vikundi vya kigaidi na vita vya wenyewe Kwa wenyewe?

Tuwe makini vikundi hivi vinatishia Amani ya nchi na watu wake
 
Attachments

  • 6349547-0cf07faee61c925c483476af3e7e0b0.mp4
    20.6 MB

Ukimuona Kobe juu ya mti ujue kapandishwa na mtu.
 
wengi hawafahamu labda nchi nyingi zenye shida leo hii karibia zote zina muslims, somalia, sudani zilikuwa na amani mwanzoni, libya, mali, niger, nigeria, yemeni, lebanon, siria, afghanstan, iran, pakistan, msumbiji (~17% ya msumbiji ni muslims), komoro, zanzibar communism ilileta uhasama na chuki baina unguja vs pemba leo hii kama siyo kuwa sehemu ya bara damu ingekuwa inachuruzika baharini, btw kabla ya communists pemba was prosperous and way richer than unguja lkn leo hii pemba is the poorest na wanaishi kama karne ya 7 arabia, na wale wale waliobomoa pemba vs unguja i.e afro shiraz ndiyo wanaotawala bara.

thats how it starts wataacha majeraha makubwa ambayo upande wa pili utakuwa so hurt kiasi kwamba utataka revenge na ikishafikia hapo inaingia kwenye vicious circle basi hakuna nchi tena.

muslims destroy nations ...
 
wengi hawafahamu labda nchi zote zenye shida leo hii karibia zote zina muslims, somalia, sudani zilikuwa na amani mwanzoni, libya, mali, niger, nigeria, yemeni, lebanon, siria, afghanstan, iran, pakistan, msumbiji (17% ya msumbiji ni muslims), komoro, zanzibar kama siyo bara leo hii ingekuwa damu tupu inachuruzika baharini.

thats how it starts wataacha majeraha makubwa ambayo upande wa pili utataka revenge na ikishafikia hapo basi hakuna nchi tena.

muslims destroy nations ...
Muslim
 
Nina wasiwasi huyu gaidi inawezekana ameingiza vikundi vya bokoharamu na Alshababu kupambana na watanzania
Tatizo huwezi jua kabisa yupo upande upi!
Unaweza ukadhani hivyo kumbe sio!
Ukiwa kiongozi ni ngum sana kujua nani yupo upande wako na nani sio!!

Awamu ya jpm imenifunza mengi sana!!
Ngoja tuone
Ni ngumu kujua
 
Pengine kuna tusiyoyafahamu
Ndiyo kuna mengi hatuyafahamu lakini je kwa nini anatokea mbele ya umma kuendelea kushusha brand ya Jeshi?
Tuseme ni maelekezo toka juu je ni kweli kabisa hawana Point ya kujitetea Kwanini wasitokee mbele ya Umma kwa wakati kama huu??

Enewei mambo ya hii nchi ukiyawaza yatakumalizia nguvu za kike Tu tule tunyamaze🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom