Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Eti bwanaSi muache kufanya vurugu ?
Eti bwanaSi muache kufanya vurugu ?
Nyinyi mtaishi milele?Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.
Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Kwa taarifa yako hili kundi lipo muda mrefu, ila sasa limeagizwa kujitokeza hadharani. Kundi hili ndio huitwa la watu wasiojulikana, linafadhiliwa kwa 100% na serekali, na vyombo vya dola hupewa taarifa visiwafuatilie wakifanya unyama wao. Baadhi ya sababu za watu kutaka kuandamana ni pamoja na uwepo wa hilo kundi la watu wasiojulikana.Kabisa mkuu,. cha kujiuliza mamlaka za udhibiti ziko wapi?
NotedKwa taarifa yako hili kundi lipo muda mrefu, ila sasa limeagizwa kujitokeza hadharani. Kundi hili ndio huitwa la watu wasiojulikana, linafadhiliwa kwa 100% na serekali, na vyombo vya dola hupewa taarifa visiwafuatilie wakifanya unyama wao. Baadhi ya sababu za watu kutaka kuandamana ni pamoja na uwepo wa hilo kundi la watu wasiojulikana.
Hata yule ustaadh ubwabwa, shekhe Majini alikuwa akijigamba hivi hivi, ila wauaji policcm na Kmkm walianza kumtanguliza yeyeToka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.
Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Where there's smoke there's fire, they've a lot to lose so they use smokescreen. Kuna watu wa kulipwa kufanya dirty jobs.Mkuu,
Hii ni Dhana au ushahidi upo?
Mbona pesa zetu zinaibiwa na viongozi na hujawahi kutumia? Ama wizi wa Mali za umma kwako sio tatizo?Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.
Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Achana na Sheikh Mwaipopo, hata sisi wananchi wa kawaida huku mtaani tumejipanga kuwashughulikia wanaojifanya waandamaji halafu wanaharibu mali zetu. Wao waandamane tu. Ila kupora mali zetu TUTAWASHUGHULIKIA!Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana.
Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono maandamano,kabisa,
Nafahamu kuwa maandamano yapo kisheria Kwa mujibu wa Sheria,lakini tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana.
Nikirudi kwenye mada,Nina maswali ya kujiuliza
Shehe Mwaipopo ni nani?
Ana mamlaka gani ya kumiliki kikundi cha anaowaita ,watu wa ulinzi?
Inafahamika Kwamba Polisi akikukamata,atakupeleka mahabusu,na anamiliki Pingu za kudhibiti mhalifu,je hawa anaowaita chui weusi wakikukamata wanakupeleka wapi?
Ina maana vyombo vya ulinzi ,vimeshindwa kazi mpaka kuwepo vikundi ambavyo havijulikani?
Tanzania inaelekea wapi?
Ifahamike kwamba Polisi anaheshimika Kwa mavazi yake,
Mwanajeshi anatisha kiasi Kwa sare zake.na watu hawa wote hata wakishika silaha haishangazi kwakuwa tumezoea kuwaona wakiwa na silaha.
Swali,
Je itakuwaje pale ambapo Raia au muandamanaji atakutana na mtu ambaye si Askari,Hana kitambulisho kinachoonesha yupo jeshi gani,
Na endapo mtu huyu atamzuia muandamanaji,Kwa vyovyote kuna mmoja wapo ataumia, kwakuwa hafahamiki kama ni Askari halali.
Je serikali imeruhusu uwepo wa vikundi visivyo rasmi kujigamba watakavyo?
Huu si mwanzo wa kuanza Kwa vikundi vya kigaidi na vita vya wenyewe Kwa wenyewe?
Tuwe makini vikundi hivi vinatishia Amani ya nchi na watu wake
Polisi wanajua anawasaidia kudiscourage maandamano kwa sababu Rais ni muislam, hivi vikundi utawala ukibadilika kukawa na Rais mkristo vinageuka na vitaanza kusumbua serikali iliyopo.Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana.
Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono maandamano,kabisa,
Nafahamu kuwa maandamano yapo kisheria Kwa mujibu wa Sheria,lakini tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana.
Nikirudi kwenye mada,Nina maswali ya kujiuliza
Shehe Mwaipopo ni nani?
Ana mamlaka gani ya kumiliki kikundi cha anaowaita ,watu wa ulinzi?
Inafahamika Kwamba Polisi akikukamata,atakupeleka mahabusu,na anamiliki Pingu za kudhibiti mhalifu,je hawa anaowaita chui weusi wakikukamata wanakupeleka wapi?
Ina maana vyombo vya ulinzi ,vimeshindwa kazi mpaka kuwepo vikundi ambavyo havijulikani?
Tanzania inaelekea wapi?
Ifahamike kwamba Polisi anaheshimika Kwa mavazi yake,
Mwanajeshi anatisha kiasi Kwa sare zake.na watu hawa wote hata wakishika silaha haishangazi kwakuwa tumezoea kuwaona wakiwa na silaha.
Swali,
Je itakuwaje pale ambapo Raia au muandamanaji atakutana na mtu ambaye si Askari,Hana kitambulisho kinachoonesha yupo jeshi gani,
Na endapo mtu huyu atamzuia muandamanaji,Kwa vyovyote kuna mmoja wapo ataumia, kwakuwa hafahamiki kama ni Askari halali.
Je serikali imeruhusu uwepo wa vikundi visivyo rasmi kujigamba watakavyo?
Huu si mwanzo wa kuanza Kwa vikundi vya kigaidi na vita vya wenyewe Kwa wenyewe?
Tuwe makini vikundi hivi vinatishia Amani ya nchi na watu wake
Enzi za chuma makonda ndio alikua mtoto pendwa Leo hii eti unashangaa na tuhuma zile!!Ni ngumu kujua
Shukrani,
Tumuombe MWENYEZI MUNGU atupe mwisho mema watu wengi wananaumivu kwenye moyo kwa u binafsi wa wachache wetu.