Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,951
- 19,766
Kabisa mkuu,. cha kujiuliza mamlaka za udhibiti ziko wapi?Huyu ni gaidi kama wale bokoharam au alshabab wanaanza hivihivi wakipata ufadhiri na silaha ni hatari, wataanza kujikusanya na kuleta vita na taharuki
Ukimuona Kobe juu ya mti ujue kapandishwa na mtu.Inashangaza!!
Kuna video inamuonesha jamaa mmoja ambaye mwanzo nilimpuuza lakini katika pita pita zangu mtandaoni,nakutana na clip moja ikimuonesha huyu jamaa anayejiita Shehe Mwaipopo akijigamba kuwa ana kikundi ambacho kitapambana na watakao andamana.
Kwanza nieleweke kwamba siungi mkono maandamano,kabisa,
Nafahamu kuwa maandamano yapo kisheria Kwa mujibu wa Sheria,lakini tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana.
Nikirudi kwenye mada,Nina maswali ya kujiuliza
Shehe Mwaipopo ni nani?
Ana mamlaka gani ya kumiliki kikundi cha anaowaita ,watu wa ulinzi?
Inafahamika Kwamba Polisi akikukamata,atakupeleka mahabusu,na anamiliki Pingu za kudhibiti mhalifu,je hawa anaowaita chui weusi wakikukamata wanakupeleka wapi?
Ina maana vyombo vya ulinzi ,vimeshindwa kazi mpaka kuwepo vikundi ambavyo havijulikani?
Tanzania inaelekea wapi?
Ifahamike kwamba Polisi anaheshimika Kwa mavazi yake,
Mwanajeshi anatisha kiasi Kwa sare zake.na watu hawa wote hata wakishika silaha haishangazi kwakuwa tumezoea kuwaona wakiwa na silaha.
Swali,
Je itakuwaje pale ambapo Raia au muandamanaji atakutana na mtu ambaye si Askari,Hana kitambulisho kinachoonesha yupo jeshi gani,
Na endapo mtu huyu atamzuia muandamanaji,Kwa vyovyote kuna mmoja wapo ataumia, kwakuwa hafahamiki kama ni Askari halali.
Je serikali imeruhusu uwepo wa vikundi visivyo rasmi kujigamba watakavyo?
Huu si mwanzo wa kuanza Kwa vikundi vya kigaidi na vita vya wenyewe Kwa wenyewe?
Tuwe makini vikundi hivi vinatishia Amani ya nchi na watu wake
Ni kweliUkimuona Kobe juu ya mti ujue kapandishwa na mtu.
Upo sahihi sana kakaAtashughulikiwa wakati sahihi utakapotimia.. Kwasasa muache ajimwambafy.. Tuna document kila kitu
Muslimwengi hawafahamu labda nchi zote zenye shida leo hii karibia zote zina muslims, somalia, sudani zilikuwa na amani mwanzoni, libya, mali, niger, nigeria, yemeni, lebanon, siria, afghanstan, iran, pakistan, msumbiji (17% ya msumbiji ni muslims), komoro, zanzibar kama siyo bara leo hii ingekuwa damu tupu inachuruzika baharini.
thats how it starts wataacha majeraha makubwa ambayo upande wa pili utataka revenge na ikishafikia hapo basi hakuna nchi tena.
muslims destroy nations ...
Pengine kuna tusiyoyafahamuJana msemaji Wa jeshi ili kubalance mambo hata kwa unafiki tu alipaswa kukemea watu kama Mwaipopo!
Si rahisi Raia kumuogopa mtu ambaye si Askari,hapa ndipo machafuko yatakapoanziaVyombo vya ulinzi vina hii habari ya Mwaipopo?
Kama ni kweli. Basi Jamaa amedharau sana vyombo vyetu vya Ulinzi.
Na vikikaa kimya tutapata wasiwasi.
Ni ngumu mkuuJana msemaji Wa jeshi ili kubalance mambo hata kwa unafiki tu alipaswa kukemea watu kama Mwaipopo!
SureNina wasiwasi huyu gaidi inawezekana ameingiza vikundi vya bokoharamu na Alshababu kupambana na watanzania
Nina wasiwasi huyu gaidi inawezekana ameingiza vikundi vya bokoharamu na Alshababu kupambana na watanzania
Ni ngumu kujuaTatizo huwezi jua kabisa yupo upande upi!
Unaweza ukadhani hivyo kumbe sio!
Ukiwa kiongozi ni ngum sana kujua nani yupo upande wako na nani sio!!
Awamu ya jpm imenifunza mengi sana!!
Ngoja tuone
Ndiyo kuna mengi hatuyafahamu lakini je kwa nini anatokea mbele ya umma kuendelea kushusha brand ya Jeshi?Pengine kuna tusiyoyafahamu