Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

Kikundi hicho kinamilikiwa na Abdul ndiyo maana polisi wanakiogopa kwani IGP na DGIS wote wanapokea maagizo toka kwa Abdul.
 
Mkuu,

Habari za jumapili?
Nadhani hapa kila mtanzania ataitetea nchi kulingana na dini hii ipo wazi. Leo huwezi mlaumu Rais aliyepo madarakani dini yake ika kuelewa ndio mana viongozi wake wanatafuta huruma ya dini zao waumini lazima washikamane.

Kirusi cha haya yote ni baba wa taifa kwa sera zake mbovu za kupenda Chama kuliko nchi, tukimaliza kuvuruga serikali itafata hoja ya dini ambayo lazima iwepo halafu ukanda ndio utamaliza.

Jamii nyingi za pwani ni muslim, Je unadhani ukija udini watakubali bandari zao yani Lindi,tanga,mtwara,pwani na Dar zitolewe maamuzi na watu wa mara au mbeya hio ni busara ndio zitaamua.

Rai yangu ni kwamba viongozi wetu ni muda sahihi wa kusikiliza kero za wananchi na kubadili muundo mzima wa katiba, bila hivyo wananchi siku maandamano yakishika hatamu hata hiki kidogo tulicho nacho kitapotea.
 
Officially sasa TZ kumeanzishwa kikosi cha kigaidi openly, polisi wanaogopa kusema lolote juu ya kikosi hiki kinachojigamba hadharani kuwa kitadhibiti maeneo sensitive ya nchi. It's sad, terrifying na aibu kubwa kwa TISS, polisi na JWTZ(TPDF).
Yaani hata mpenda sifa Mwigulu ameshindwa kuongea lolote so the big question is 'who is behind this terrorist squad?' kwani obviously they're untouchable.
Kwa mara ya kwanza ndiyo naona kikosi cha kigaidi kikitamba hadharani nchini Tanzania lakini to make it worse hakuna vyombo vya usalama vilivyothubutu kuwakamata hawa magaidi.
I like patterns, hapa nazidi kuamini kuwa Samia, mwanae Abdul na Kikwete ndiyo sponsors wa hiki kikundi.
 

Mkuu,

Hii ni Dhana au ushahidi upo?
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA KUFANYA MAUAJI.......

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari,

8. Anayezima Mtandao na kuzuia baadhi ya mitandao ya kijamii x, Twiter, Jf Jambo nk.

9. Anayewabambikizia kesi wapinzani zisizo na sababu zozote za Msingi na zilizojaa Upumbavu.

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA.
HAKUNA ALIYE SALAMA.
 
Mkuu,

Hii ni Dhana au ushahidi upo?
Ushahidi wa kimazingira upo, kwa nini polisi haijachukua hatua hadi sasa? Awali vyama vya siasa vilikuwa na vikundi vyao vya ulinzi, Chadema walikuwa na Red Brigade, CCM wana Green Guard na CUF walikuwa na Blue Guard lakini vikundi hivyo vilipigwa marufuku vikavunjwa wakabaki Green Guard ya CCM kwa vile CCM na Polisi ni wamoja. Kwa kikundi hiki cha kigaidi cha Mwaipopo kuachwa kitambe ni dhahiri wao na Polisi lao moja kama ilivyo Green Guard ya CCM.
 
Inatisha sana
 
Shukrani,

Tumuombe MWENYEZI MUNGU atupe mwisho mema watu wengi wananaumivu kwenye moyo kwa u binafsi wa wachache wetu.
 
Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.

Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
 
Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.

Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Rudia kusoma ulichoandika
 
Mambo mengine yote uko sahihi tatizo unawalaum waandamaji huku ukisema maandamano yako kisheria uliposema'
Tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana' hata kama wariharibu miundo mbinu kuwaua haikuwa sahihi
 
Mambo mengine yote uko sahihi tatizo unawalaum waandamaji huku ukisema maandamano yako kisheria uliposema'
Tatizo ni Elimu Kwa waandamanaji
Wote tumeona kilichotokea mwaka jana' hata kama wariharibu miundo mbinu kuwaua haikuwa sahihi
Yale yalikuwa maandamano halali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…