Tanzania inaelekea sehemu mbaya kama tunaruhusu vitu hivi

Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.

Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Nyinyi mtaishi milele?
 
Kabisa mkuu,. cha kujiuliza mamlaka za udhibiti ziko wapi?
Kwa taarifa yako hili kundi lipo muda mrefu, ila sasa limeagizwa kujitokeza hadharani. Kundi hili ndio huitwa la watu wasiojulikana, linafadhiliwa kwa 100% na serekali, na vyombo vya dola hupewa taarifa visiwafuatilie wakifanya unyama wao. Baadhi ya sababu za watu kutaka kuandamana ni pamoja na uwepo wa hilo kundi la watu wasiojulikana.
 
Noted
 
Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.

Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Hata yule ustaadh ubwabwa, shekhe Majini alikuwa akijigamba hivi hivi, ila wauaji policcm na Kmkm walianza kumtanguliza yeye
 
Toka uingie mtaani ukaibe mali za watu na kuchoma vituo vya mafuta kama mlivyofanya Oct 29 ili shughuli iishe.

Maana mlinusurika vibaka wachache safari hii mnatakiwa muwafate wenzenu akhera.
Mbona pesa zetu zinaibiwa na viongozi na hujawahi kutumia? Ama wizi wa Mali za umma kwako sio tatizo?
 
Sijui usajili wa hawa vijana ulifanyika kwa utaratibu upi? Ukitaka kujiunga unamtafuta shekhe au kuna ofisi? Kuna viapo wanaapa?
 
Nyuma ya huyo sheikh kuna akina Abdul na Samia.
Ikulu ndiyo mratibu wa vikundi vyote vya kigaidi , vyombo vyote vya dola vimefungwa mdomo
 
Achana na Sheikh Mwaipopo, hata sisi wananchi wa kawaida huku mtaani tumejipanga kuwashughulikia wanaojifanya waandamaji halafu wanaharibu mali zetu. Wao waandamane tu. Ila kupora mali zetu TUTAWASHUGHULIKIA!
 
Mwenye uhalali wa kumiliki vikosi ni Captain wa jeshi,na RPC sasa yeye Mwaipopo anaweza vipi kumiliki vikosi?
 
Polisi wanajua anawasaidia kudiscourage maandamano kwa sababu Rais ni muislam, hivi vikundi utawala ukibadilika kukawa na Rais mkristo vinageuka na vitaanza kusumbua serikali iliyopo.
 
Shukrani,

Tumuombe MWENYEZI MUNGU atupe mwisho mema watu wengi wananaumivu kwenye moyo kwa u binafsi wa wachache wetu.

Hakuna amani tena hali ya sasa ni kama vita baridi kati ya wenye mamlaka na watawaliwa au wenye bunduki na wasio na bunduki

wasio na bunduki wanatekwa na kuuwawa, amani iko wapi hapo
 
tayari ipo sehemu mbaya, just imagine Mwaipopo ni mkuu kuliko Amirijeshi, cdf, igp, rpc, nk. Yaani anamiliki jeshi la kigaidi ndan ya nchi na serikali imeufyata 💩💩💩💩
 
Sheikh wangu Mwaipopo mnamwonea tu,, hayupo hapo kwa kujikwaa,,,, kwenye ishu ya USALAMA wa NCHI hakunaga KUKOSEA wala MAIGIZO...

Tumwone tarehe 7/7

Hata CONGO DR kuna WAZALENDO..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…