Huu uchaguzi kufanyika vibaya na udanganyifu wa maridhiano umemaliza enzi za sasa za nchi yetu kutokujielewa. Kama nchi Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa udanganyifu na uongo uongo.
Sasa baada ya haya utakuja muda wa Watanzania kulazimishwa kuchagua kwa vitendo mfumo mmoja kati ya haya
Demokrasia vs Udikteta
Mambo ya kwamba tuna mfumo tofauti na kudanganyana muda umefikia mwisho. Bila shaka sasa Watanzania wanajua maridhiano na makongamano yote yalikuwa utapeli. Hii inaondoa kabisa bila shaka lile group la upinzani la wakina Mbowe hata Zitto ambao walikuwa na matumaini.
Sasa wale waliosema ulikuwa utapeli sasa ni wazi walikuwa sawa kwa asilimia 100%. Kama nchi tutalazimishwa kuchagua mfumo mmoja kama ni udikteta basi tuwe na udikteta na kama ni demokrasia tuwe na demokrasia ya kweli bila hivyo hii nchi itaenda kwenye machafuko.
Ambao ni machawa na hampendi demokrasia muwe wazi tu na mtoe hoja zenu na wanaopenda demokrasia watoe hoja zao lakini nchi haitaweza kuendelea kwa uongo uongo zaidi ya wakati huu. Ile likizo na matumaini ya Mama yako wazi sasa na kila mtu anajua Mama anasimama wapi.
Na niwajulishe hili sio shwala la CCM na Chadema ni swala la nchi. Hakuna nchi ya udikteta Dunia hii isiyo na wanasiasa wenye msimamo mkali.
China ina wakimbizi wengi sana na serikali inapangia watu mpaka watoto au mimba inatolewa kwa nguvu. Dini serikali inapanga sehemu za ibada zijengwe au la. Kama tunataka huu mfumo sawa tuchague lakini tujue tunachagua nini sio nusu nusu!.
Lakini huko Urusi tunaona yanayotokea. Waarabu wenyewe sio udikteta ni mfumo wa kidini yaani nchi yao mfano Saudi ni ya kifalme lakini inaendeshwa kwa kidi ya suni Waislam, Iran ni mfumo wa kidini wa shia waislam.
Tanzania tumeshaingia kwenye shimo ambalo tunajua kutoka ni lazima turudi tulikotoka huko mbele hakuna njia ya kutoka. Sasa kwenye shimo hili tuamue tunatoka au tunafia ndani ya shimo. Na tukitoka kwenye hili shimo kuna njia mbili tu Demokrasia au udikteta. Tusijifananishe na Rwanda wala Uganda. Uganda Musevi ni mwana mapinduzi na Kagame anaongoza nchi ilitoka kwenye mauaji na ni ndogo sana na kabila mbili tu!
Tumeshaona Sudan, misri, msumbiji, malawi, kenya, yaliyotokea hivyo mifano ipo. Watanzania ambao wengi wanapenda kuwa fake sasa inabidi kila mmoja wetu achague upande na kutetea upande wake ili tuamue nchi gani tunaitaka.
Huu utaratibu wa sasa hautaweza kuendelea kwa muda mrefu maana ni utapeli na upotevu wa rasilimali. Wananchi pamoja na upole wao hawataweza kuendelea kuona tunatumia rasilimali kufanya chaguzi fake kama hizi wakati kuna shida nyingi nchini
Mwaka 2025 ni mwazo tu lakini tunaenda kuchagua nchi tunayotaka. Usikoshiriki pia ni uamuzi lakini lazima tuchague njia