Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Futa hii kitu 👆👆 wee chawa!! Mentioned above hakuna kitu kama hicho, hata mtot wa primary anajua hilo!!!Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za
thank you very much kamanda.Tanzania ina mengi mazuri kwa upande wa utawala wa kidemocrasia ila yafuatayo bado yanahitaji kuboreshwa:
1. Tume ya Uchaguzi - iwe huru kweli
2. Mahakama - ziwe mbali na siasa na rushwa
3. Polisi wawe mbali na siasa lakini watekeleze kazi yao ya kuhakikisha nchi ni salama na tulivu
4. CCM wakubali kua kuna siku inabidi ipishe wengine.
5. Mali za CCM walizovuna kabla ya mfumo wa vyama vingi irudishwe serikakini sababu wananchi wote walichangia na zinawapa CCM uwezo kandamizi kwa wapinzani.
6. Wapinzani wajiimarishe na kubainisha kua wanaweza kuaminiwa na watanzania kuunda serikali. Mpaka sasa haioneshi wana huo uwezo.
7. Siasa za visasi ziepukike kabisa. Atakea chukua utawala ajikite kwenye maendeleo na umoja wa taifa.
Mimi naona bora kwa miaka kama 20 ijayo kuchukua mfumo wa serikali ya mseto au maridhiano kufuatana na idadi ya kura vyama vilivopata. Hii itawezeshe kujenga imani na na utamaduni wa kufanya kazi kwa umoja hata baadae tukirudia mfumo wa chama kimoja kilicho shinda uchaguzi kutawala pekee.
si uje taratibu na ubainishe kasoro zilizopo na upendekeze suluhisho muungwana?.Futa hii kitu 👆👆 wee chawa!! Mentioned above hakuna kitu kama hicho, hata mtot wa primary anajua hilo!!!
Watoto wana haki kujua mwenendo wa utawala wa Nchi yao!! Hapo hakuna haja ya kuja taratibu, kuhusu uchaguzi wa bongo jins unavyoendeshwa kila mtu anajua hata wanaccm pia! Fikiria ule uchaguzi 2020 na yale ndio madhara ya kumpa Rais mamlaka makubwa!!si uje taratibu na ubainishe kasoro zilizopo na upendekeze suluhisho muungwana?.
Acha watoto wasome mkuu.
by the way una maoni mazuri, thank you mkuu...
Watoto wana haki kujua mwenendo wa utawala wa Nchi yao!! Hapo hakuna haja ya kuja taratibu, kuhusu uchaguzi wa bongo jins unavyoendeshwa kila mtu anajua hata wanaccm pia! Fikiria ule uchaguzi 2020 na yale ndio madhara ya kumpa Rais mamlaka makubwa!!
Mkumbushe aweke na namba za simu.Naunga mkono andiko lako na sina nyongeza.
Kiingereza hakikupendi. Achana nacho kabisa kinakuaibishaBreafly'democracy' means rule of people (minority) over/rule majority, but typically who are the people?women,childs or men?then here we seen the word 'democracy' itself doesn't totally reflect the reality becoz it exclude childs from decesion making/vote kwahy tunakuja kutambua demokrasia ina mipaka,tamaduni na exclude baadh ya mambo.