comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mbona mnailaani sana timu yetu?Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania
Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.
Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.
Ni timu lisilo na uwezo huo ndio ukweliMbona mnailaani sana timu yetu?
Baada ya dk 90 ndio utanijua mimi ni ADEMOLA LOOKMAN au VICTOR OSIMHENcomrade_kipepe hata uwepo usiwepo hapa jamiiforums..
who are you??????
Lakini ndio timu ya nyumbani tunafanyaje sasaNi timu lisilo na uwezo huo ndio ukweli
Huna umuhimu wowote humu uwepo usiwepo..Baada ya dk 90 ndio utanijua mimi ni ADEMOLA LOOKMAN au VICTOR OSIMHEN
Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania
Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.
Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.
Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za taifa, angalia nchini zote rangi za jezi soksi, bukta na t-shirt zinakuaga zilezile hazibadiliki, sio hawa viazi ambao wanabadilisha mpangilio wa rangi wakidhani mkosi utaondoka, haipo hiyo mkosi ndio umezidi pumbavh
YapigweeeWachambuzi wa Super Sport wa DSTV wametabiri Nigeria itaifunga Tanzania goli 2 bila.
Mimi ni nani nibishe
Kama ndio ingekua naamua ningeamua ipigwe 20 ili iweke record ya duniaNatamani ingegongwa hata 7 kabisa.
Leo mbogamboga fc mnapigwa 3+Huna umuhimu wowote humu uwepo usiwepo..
kwahiyo usitishe watu.
ndo nyie yakiwakuta mnafungua account zingine
Duuh mmeichoka sasaNatamani ingegongwa hata 7 kabisa.
Yapigwee tuLakini ndio timu ya nyumbani tunafanyaje sasa
Kama kawaida nimejilipua na milioni moja. Diuble chance ya drc, win ya senagal na nigeria.Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania
Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.
Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.
Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za taifa, angalia nchini zote rangi za jezi soksi, bukta na t-shirt zinakuaga zilezile hazibadiliki, sio hawa viazi ambao wanabadilisha mpangilio wa rangi wakidhani mkosi utaondoka, haipo hiyo mkosi ndio umezidi pumbavh
USHAKULA HELA, HII ya TANZANIA NI KAMA KUSUKUMA MLEVIKama kawaida nimejilipua na milioni moja. Diuble chance ya drc, win ya senagal na nigeria.
Drc na senegal tayari washamaliza kazi niliyowatuma. Bado Nigeria nichukue 1.9m yangu. Faida 900K sio mbaya