Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Sijaona wa kututoa kwenye iyo position. Tushirikie hapo hapo.
IMG_4226.jpeg
 
Chukuweze anakazwa na Bashite limekosa nafasi nzuri dakika za mwisho kabisa.Ingekuwa mbili sasa
 
Back
Top Bottom