Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania

Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.

Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.

Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za taifa, angalia nchini zote rangi za jezi soksi, bukta na t-shirt zinakuaga zilezile hazibadiliki, sio hawa viazi ambao wanabadilisha mpangilio wa rangi wakidhani mkosi utaondoka, haipo hiyo mkosi ndio umezidi pumbavh

Katika vitu ambavyo vinathibitishia ulimwengu kuwa tuna Vijana WAJINGA na wasio kuwa na exposure mojawapo nikutokupenda vya kwetu kama wewe.
Nilipanda mlima Kilimanjaro kipindi flani nikakutana na baadhi ya Waongoza watalii wajinga sijawahi kuonao; ...kutwa kucha wanaongelea mabaya ya Tanzania wanafikiri ndiko ku guide hadi baadhi ya wazungu wakawa wanaowaona kama wana matizo ya afya ya Akili... Changamoto zipo ila sio kwa kiasi cha kujivua nguo...
Nakumbuka pia, hivi majuzi Prof Janabi alivyo gombea, kulitokea kundi la wajinga humu JF wakawa wanamponda huku wakisifia wengine, mwishoni prof katangazwa mshindi...wanabaki na Upumbavu wao
Wajinga wamemchafua Mbwana nk nk nk na hawa wajinga ndio eti wanafikiri wataleta mabadiliko?
TUJIFUNZE KUPENDA VYA KWETU au NDIO TUNAHITAJI WAZUNGU WAJE KUTUFUNDUSHA NA HILO!
 
Katika vitu ambavyo vinathibitishia ulimwengu kuwa tuna Vijana WAJINGA na wasio kuwa na exposure mojawapo nikutokupenda vya kwatu kama wewe.
Nilipanda mlima Kilimanjaro kipindi flani nikakutana na baadhi ya Waongoza watalii wapumbavu sijawahi kuonao; ...kutwa kuchwa wanaongelea mabaya ya Tanzania wanafikiri ndiko ku guide hadi baadhi ya wazungu wakawa wanaowaona kama wana matizo ya Akili... Changamoto zipo ila sio kwa kiasi cha kujivua nguo...
Nakumbuka pia, hivi majuvi Prof Janabi alivyo gombea, kulitokea kundi la wajinga humu JF wakawa wanamponda huku wakisifia wengine, nikawa nawaambia wache ujinga Prof kaongea vizuri....mwishoni Prof: katangazwa mshindi...wanabaki una Upumbavu wao
Wapumbavu wamemchafua Mbwana nk nk nk
TUJIFUNZE KUPENDA VYA KWETU au NDIO TUNAHITAJI WAZUNGU WAJE KUTUFUNDUSHA NA HILO!
kuandika reply ndefu kuliko Thread yenyewe HAYO NI MAAJABU. leo mnapigwa nyingi sana
 
Katika vitu ambavyo vinathibitishia ulimwengu kuwa tuna Vijana WAJINGA na wasio kuwa na exposure mojawapo nikutokupenda vya kwetu kama wewe.
Nilipanda mlima Kilimanjaro kipindi flani nikakutana na baadhi ya Waongoza watalii wapumbavu sijawahi kuonao; ...kutwa kuchwa wanaongelea mabaya ya Tanzania wanafikiri ndiko ku guide hadi baadhi ya wazungu wakawa wanaowaona kama wana matizo ya Akili... Changamoto zipo ila sio kwa kiasi cha kujivua nguo...
Nakumbuka pia, hivi majuvi Prof Janabi alivyo gombea, kulitokea kundi la wajinga humu JF wakawa wanamponda huku wakisifia wengine, nikawa nawaambia wache ujinga Prof kaongea vizuri....mwishoni Prof: katangazwa mshindi...wanabaki una Upumbavu wao
Wapumbavu wamemchafua Mbwana nk nk nk
TUJIFUNZE KUPENDA VYA KWETU au NDIO TUNAHITAJI WAZUNGU WAJE KUTUFUNDUSHA NA HILO!
Sasa Tanzania ina kitu kipi cha kujivunia,taifa lenyewe la kiditekta na miundo duni.Siwez ipenda taifa stars bora ni ipende man-u.
 
Back
Top Bottom