Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF

Nigeria vipi aisee matokeo haya ni kama manyumbu yameshinda
 
Timu ya vibaka wauaji ccm lazima iburuze mkia tena kwa bila point ,laana ya mauaji ya watu 10000 si mchezo
 
Timu ya vibaka wauaji ccm lazima iburuze mkia tena kwa bila point ,laana ya mauaji ya watu 10000 si mchezo
Imefungwa ...imekusaidia nini wewe kapuku Bado utaendelea kua kapuku
 
Leo ni 3+ wanapigwa Tanzania

Isipotokea hivyo NAJITOA JF RASMI NA SITOTUMIA TENA JF.

Timu kwanza inalaana ya damu inayonuka nchini, mpaka HAKI ipatikane ndio mambo yatakua shwari.

Timu lenyewe halina hata rangi za mpangilio wa jezi ambao umedumu miaka kwa miaka mingi kama timu nyingne za taifa, angalia nchini zote rangi za jezi soksi, bukta na t-shirt zinakuaga zilezile hazibadiliki, sio hawa viazi ambao wanabadilisha mpangilio wa rangi wakidhani mkosi utaondoka, haipo hiyo mkosi ndio umezidi pumbavh
kama wewe sio MJINGA timiza ahadi yako ya kujitoa JF
 
Kuna NYUMBU KAKOSA GOLI LA WAZI ANAZUGA KAVUNJIKA MGUU 🤣🤣🤣
Umesema Taifa stars isipo fungwa goli 3+ unajitoa JF, vipi sasa?

Ndio maana kila siku huwa nasema, munaojiita Gen-z ni watoto mchele mchele.
Haya nenda kabanduliwe huko.
 
Leo timu yetu pendwa imeupiga mwingi mpaka unamwagika.
Maadui wa Taifa letu hawaamini walicho kiona.
Ndio tumefungwa, lakini tumeonyesha kua tunaweza.
Hii imenifundisha kwenye maisha usimkatie mtu tamaa.
 
Leo timu yetu pendwa imeupiga mwingi mpaka unamwagika.
Maadui wa Taifa letu hawaamini walicho kiona.
Ndio tumefungwa, lakini tumeonyesha kua tunaweza.
Hii imenifundisha kwenye maisha usimkatie mtu tamaa.
Yani unajivunia KUFUNGWA
 
Yani unajivunia KUFUNGWA
Ulisema Taifa stars ikifungwa goli chini ya 3 utajitoa JF, cha ajabu mpaka muda huu upo tu.
Hii inaonyesha wewe sio mwanaume halisi (itakua wewe ni *****) maana kwa hakika mwanaume halisi husimamia kile anacho amini.
 
Active litie ban ya maisha hili lipimbi,maana lilijitakia lenyewe.
Akusema apigwe ban alisema atajiondoa mwenyewe.Anyway Nigeria waliniudhi sana hii game kweli chuma 3+ zilikuwa zinapatikana kwahiyo jamaa alikuwa sahihi.Bahati tu na sio mipango ndio salama ya stars
 
Shule zifunguliwe Sasa ili awa walio katika ukuaji (foolish age) warudi mashuleni maana mabandiko Yao ya mihemko yanajaza server tu.
 
Back
Top Bottom