Tanzania inafungwa 3+, isipotokea NAJITOA JF


Katika vitu ambavyo vinathibitishia ulimwengu kuwa tuna Vijana WAJINGA na wasio kuwa na exposure mojawapo nikutokupenda vya kwetu kama wewe.
Nilipanda mlima Kilimanjaro kipindi flani nikakutana na baadhi ya Waongoza watalii wajinga sijawahi kuonao; ...kutwa kucha wanaongelea mabaya ya Tanzania wanafikiri ndiko ku guide hadi baadhi ya wazungu wakawa wanaowaona kama wana matizo ya afya ya Akili... Changamoto zipo ila sio kwa kiasi cha kujivua nguo...
Nakumbuka pia, hivi majuzi Prof Janabi alivyo gombea, kulitokea kundi la wajinga humu JF wakawa wanamponda huku wakisifia wengine, mwishoni prof katangazwa mshindi...wanabaki na Upumbavu wao
Wajinga wamemchafua Mbwana nk nk nk na hawa wajinga ndio eti wanafikiri wataleta mabadiliko?
TUJIFUNZE KUPENDA VYA KWETU au NDIO TUNAHITAJI WAZUNGU WAJE KUTUFUNDUSHA NA HILO!
 
kuandika reply ndefu kuliko Thread yenyewe HAYO NI MAAJABU. leo mnapigwa nyingi sana
 
Sasa Tanzania ina kitu kipi cha kujivunia,taifa lenyewe la kiditekta na miundo duni.Siwez ipenda taifa stars bora ni ipende man-u.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…