RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Wazee hili taifa letu la Tanzania wamelitapanya Sana kwa kuingia mikataba hewa ya kilaghai na mataifa ya nje . Kijana traore anezaliwa Mwaka 1987 nikijana katika viongozi wa afrika wa mfano na anafaa kuigwa, Kila anapopita wananchi hawachoki kumshangilia kwa kazi anayoifanya.
Hapa kwetu wazee wakiingia ofisini wanawaza kuuza Kila rasilimali zilizopo haitoshi wakishaona hata sheria zinawabana wanazifanyia marekebisho kwa ajiri ya kulinda wizi wao .
Sasa wakati ndiyo huu wakukataa wazee kuongoza nchi kwani kwa miaka 62 ya Uhuru elimu afya na n.k kazi haijafanyika kwa kiwango kinachotakiwa kulingana na rasilimali zilizopo.