The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Hakuna namna mbwa akipenda kuondoka Mungu yupo atafanya kazi yake ipasavyoKuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo ๐น๐ฟ
Na katika maombi ya kila siku tunamuomba Maanani juu ya hilo aliyepushe mbali kabisaRoho ya mtu isiachanishwe na mwili tu.
Sisi jukumu letu ni kuomba heri bado tunamuomboleza Baba yetu Mungu ambariki Mama dhidi ya Walafi wa Mirathi za Familia.Hakuna namna mbwa akipenda kuondoka Mungu yupo atafanya kazi yake ipasavyo
Tawire baba! Tawiree!Kuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo ๐น๐ฟ
Watanzania wengi wanapenda sana kujihadithia hadithi wanazozipenda, kuliko kufanyia kazi matatizo yao ili wayatatue.Na ndicho ambacho nimeona mimi muota ndoto, na kitashangaza wengi...
Ni mabadiliko makubwa...
"When there's a person there's a problem. When there's no person there's no problem" - Joseph StalinRoho ya mtu isiachanishwe na mwili tu.
Mwenyezi mungu atuongoze na atupe subra na roho zenye uvumilivu nina uhakika mwenyezi mungu hujibu kila ombiKuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo [emoji1241]
Huo ujinga atauondoa nani?.Bila kuondoa huo mfumo ulioweka nakulea huo ujinga kamwe usitegemee mfumo uliopo sasa utauondoa.Watanzania wengi wanapenda sana kujihadithia hadithi wanazozipenda, kuliko kufanyia kazi matatizo yao ili wayatatue.
Mabadiliko makubwa ni vigumu kuja kama nchi bado ina watu wajinga wengi ambao hawajui hata kusoma kwa ufahamu.
Yani hata hayo unayoweza kuyaona ni makubwa, kwa mfano tupewe katiba mpya tunayoitaka leo, uongozi wa CCM ubadilishwe, kama hatujawa na mabadiliko ya kuondoa ujinga kwa wananchi, baada ya euphoria ya muda mfupi, tutajikuta tunarudia makosa yaleyale tu.
Kwa hivyo, ni muhimu kujikita kuondoa ujinga mkubwa kwa wananchi wengi, hapo hamna shortcut.
That is beside my point.Huo ujinga atauondoa nani?.Bila kuondoa huo mfumo ulioweka nakulea huo ujinga kamwe usitegemee mfumo uliopo sasa utauondoa.
hebu dadavua zaidiNa ndicho ambacho nimeona mimi muota ndoto, na kitashangaza wengi...
Ni mabadiliko makubwa...