Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kama ni barafu limeshatolewa kwenye jokofu [emoji16] liko juani linayeyuka taratibuKuna kitu kichwani kinanimbia kuwa Tanzania inakaribia kuona mabadiliko makubwa ya kiuongozi na mfumo ambayo yatakuja bila kutegemea. Viongozi wengi walioko madarakani sasa hivi wameshafikia saturation point ya kufikiri na ni suala la muda tu chochote kinaweza kikatokea.
Katiba+Bendera=Mzalendo [emoji1241]
Sent using Jamii Forums mobile app