Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #101
Ukijua uchumi, utaelewa kwamba deni la taifa kuongezeka sababu yake inaweza kuwa ni kuwepo kwa Helium pia, kwa hiyo kuongezeka kwa deni la taifa inakuwa ni tatizo la muda mfupi. Ndio maana watu wana wasiwasi na ukubwa wa deni hili wakati Magufuli hana wasiwasi kabisa - kuonyesha anajua ni tatizo la muda. Ni sawa na kukopa sana fedha wakati una account ya muda unasubiri iive uchukue fedha nyingi zaidi ya hata ulizokopa.Mbona deni la taifa linaongezeka kama kuna pesa mbadala?? Kumbe ni tetesi! Huu ndio umbea aliosema naniliu
Kwanini ikawa confirmed 2015?Fikirisha akili kidogo. Confirmation ya Helium Tanzania ilikuwa 2015. Sasa hao waliopita wangelipwaje kwa kitu ambacho hakikuwepo?
Hata wamarekani na wao wanalumbana kuhusu kukopaNI wazi hazjaenda kununua Dreamliner, Airbus, Bombardier na kujenga SGR na Stiegler
Umewahi kujiuliza kwa nini serikal haina wasiwasi na ongezeko kubwa la deni la taifa? Kuna nini inachojua ambacho wananchi wala wapinzani hawajui kuhusu kuliona deni hilo ni tatizo la muda mfupi?
Kama pesa za helium zipo ,deni lisingekuwa kubwa kwa haraka hivyo liwe la ndani au la nje au kinacholipwa ni kidogo hakiakisi na tusibishanie tetesi .Ukijua uchumi, utaelewa kwamba deni la taifa kuongezeka sababu yake inaweza kuwa ni kuwepo kwa Helium pia, kwa hiyo kuongezeka kwa deni la taifa inakuwa ni tatizo la muda mfupi. Ndio maana watu wana wasiwasi na ukubwa wa deni hili wakati Magufuli hana wasiwasi kabisa - kuonyesha anajua ni tatizo la muda. Ni sawa na kukopa sana fedha wakati una account ya muda unasubiri iive uchukue fedha nyingi zaidi ya hata ulizokopa.
Pia, kwani deni la taifa ni kwa fedha za nje tu? Au hujui deni la taifa linatia fedha za ndani kwa kiasi kikubwa?
Mkuu, soma hizo links hapa chini, maana siwezi kujibu swali lako.Kwanini ikawa confirmed 2015?
Pia tuombee hiyo helium ikianza kuchimbwa nchi yetu iwe na amani maana watu weupe hawachelewi kutuvuruga tuwe kama Congo.Inaonekana kama tuliambiwa tusbiri hadi USA waache kuzalisha. Kwenye hiyo link nimeona hii paragraph
"Helium One expects to be producing helium from Tanzania by the end of 2020, a few months before the world's main supplier, the U.S. government, ceases to supply the gas from the Federal Helium Reserve in Texas"
Haya makisio haya.....Miaka bilioni moja mbona mingi Sana,?
Obviously, ndio maana duniani kuna wengine ni maprofessor wengine hata kuwafafanulia dunia ni mviringo huwezi, na wanasubiri makatibu wenezi wa vyama wawaambie vitu watakavyoamini bila kupingaHahahaaaa una mawazo kama yangu nilitaka mwambia hii ni alikasusu kahawa hailetagi madhar makubwa hivi kichwai
Hajui huyo....Mku twambie tunalipwa bei gani kwa mwaka ndo tutakuamini mbona na wewe umeweka siri?
Na huo ndio mwisho wako wa kufikiri, maana zaidi ya hapo utaumwa kichwa.Hii ni chai, naona kila neno linasemwa kubeza juhudi
Ushawahi kuona mtu anaesinzia halafu ikatokea kelele ya ghafla... uzi...........Tanzania,tualipwa ili tusiichimbe gesi yetu. Mbona hadhithi ya Abunuwasi/Alflelah Ulelah.Mtoa UZI Angalia usibadili gea bila Klachi,hiyo gari sio "Automatic gear"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikopo tunayo..................sio za bureHighly unlikely, kama ni injection ya pesa nje , ahueni ingekuwa kubwa zaidi.
Hii nchi bwana, kuna watu vilaza sana. Toka waelewe neno deni la taifa basi wao wakisikia kuna hela hawataelewa kwa sababu wameambiwa kuna deni la taifa!Hii nchi bwana! Kila mtu anakuja na la kwake....Jiululize deni la taifa liko ngapi kwa sasa na sio kusema tunapewa hela bure!!
Good point Mkuu. Ukifikiria umuhimu na matumizi ya Helium, na Tanzania ndio ikawa kiongozi wa soko la Helium duniani, hili sio jambo dogo na la mzaha. Marekani hata siku moja hakubali kuwa tegemezi wa nchi ndogo kama Tanzania. Jambo la kwanza, watataka kuwa na raisi wanaemtaka Tanzania.Pia tuombee hiyo helium ikianza kuchimbwa nchi yetu iwe na amani maana watu weupe hawachelewi kutuvuruga tuwe kama Congo.