Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #101
Ukijua uchumi, utaelewa kwamba deni la taifa kuongezeka sababu yake inaweza kuwa ni kuwepo kwa Helium pia, kwa hiyo kuongezeka kwa deni la taifa inakuwa ni tatizo la muda mfupi. Ndio maana watu wana wasiwasi na ukubwa wa deni hili wakati Magufuli hana wasiwasi kabisa - kuonyesha anajua ni tatizo la muda. Ni sawa na kukopa sana fedha wakati una account ya muda unasubiri iive uchukue fedha nyingi zaidi ya hata ulizokopa.Mbona deni la taifa linaongezeka kama kuna pesa mbadala?? Kumbe ni tetesi! Huu ndio umbea aliosema naniliu
Pia, kwani deni la taifa ni kwa fedha za nje tu? Au hujui deni la taifa linatia fedha za ndani kwa kiasi kikubwa?