Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

First of all you need to understand when we say Tanzania is being paid/compensated, it is being paid by who. It is not being paid by Helium One, that is ridiculous to even think of. Tanzania would be paid by the current producers of Helium to delay Helium One from starting Helium production at a comparatively lower cost that the current industrial Helium production cost. Common sense, you don't need an MBA to understand this logic.
 
Hizi ni propaganda za kujaribu kuichafua serikali ya rais Magufuli na sijui zinalenga ku achieve nini, certainly not in the interest of the masses.
Nadhani sheria ya kuzuia taarifa za uongo na upotoshaji wa namna hii inatakiwa kuanza kutumika mapema iwezekanavyo ili kuzuia wanasiasa uchwara wasiokuwa na hoja kuyumbisha wananchi kwa masilahi yao binafsi.
 
Siyo taarifa mpya wala siri kwa kuwa ilichapishwa na gazeti la "The Citizen" la tarehe 24/01/2018 baafa ya kongomano la sayansuli kimataifa lilofanyika Chuo Kikuu Dsm chini ya Idara ya Jiolojia.

Hayo mengine imeongeza kuonesha hisia zako hasi dhidi ya Serikali. Hata kama uliyosema ni kweli, ni uthibitisho wa kauli ya Rais kuwa Tanzania ni tajiri haitaji kuwa ombaomba iwapo itasimamia rasmali zake vizuri kwa ajili ya maendeleo.

Kutiwa sahini mkataba wa uanzishaji wa Twiga Mining Co ni uthibitisho kuwa kodi itapatikana kutumika kwa maendeleo ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la watu kama nyie mnatumie lugha ya kisiasa kujibu hoja zinazowafunua ufisadi wa kisiasa. Unaacha kujibu substance issue zilizopo unajiingiza kwenye majibu ya ujumla - generic political answers- eti upotoshaji, wanasiasa uchwara nk. Hiyo ni lugha ya wanasiasa mashabiki ambao hawana hoja na watupu kichwani. Hata mpinzani Zitto amejibu hii thread kwa namna ya ukomavu wa kisiasa, sasa wewe mkomavu wa CCM unashindwa nini? Je ni namna ya kuonyesha wapinzani wana akili sana kuliko nyie?

Kama ni uchwara wa kisiasa basi nyie ndio mnaongoza.Hamuwezi kutegemea kuendeleza monopoly ya siasa nchini mnayolazimisha kwa kujibu kila hoja inayotolewa au kila mnapokosolewa kwa kusema ni upotoshaji, taarifa za uongo sijui siasa uchwara, ili kama ungekuwa unanifahamu utumie polisi wenu au TISS sjui kunikamata. Jibu hoja acha utoto wa ksiasa hapa. Kama una point za kukanusha kanusha basi. Kama huna kaa kimya na ujinga wako. Wewe kutojua undani wa mambo kama haya halifanyi liwe uongo au upotoshaji. Watu mmezoea kuishi kwa vitisho na maneno ya kippopaganda sijui upotoshaji nk. Ujinga wa hali ya juu huo katika siasa.

Mnaniudi sana watu wa aina yako. Ni wazi nyie ni failures katika maisha mliokimbilia kwenye siasa. Tunahitaji wanasiasa intellectuals wenye kujibu mambo kwa nguvu ya hoja, sio mashabiki kama wewe.
 
Mkuu, haya uliyoweka hapa yanaeleweka sana hata bila kwenda shule ya eneo hilo.

Katika swala la hii gesi ya helium, Mmarekani hana shida kabisa, maanake yeye mipango yake ni ya muda mrefu. Analimbikiza madini yote yenye uhitaji anaooujua, kwa hiyo, kwake kununua na kulimbikiza helium ya kukusanya lisingekuwa tatizo kwake kuinunua kwetu, badala ya kutoa pesa ili tucheleweshe kuweka mali sokoni.

Ndio maana nikasema kuna ugumu wa kuliamini hili.
 
Ahaa! Rudia statement ya Bloomberg;

"Helium One expects to be producing helium from Tanzania by the end of 2020, a few months before the world's main supplier, the U.S. government, ceases to supply the gas from the Federal Helium Reserve in Texas"
 
Rais kuwa Tanzania ni tajiri haitaji kuwa ombaomba iwapo itasimamia rasmali zake vizuri kwa ajili ya maendeleo.

Hili ni sawa kabisa.
Kuna tofauti kubwa sana kulisema na kulitekeleza.

Ndio, tutafaidika kidogo na mikataba hii mipya kuliko ilivyokuwa hapo zamani, lakini mwelekeo bado ni ule ule wa kuchimba na kusafirisha nje.
Tunayo madini ya graphite sehemu mbalimbali nchini, yanachimbwa na kusombwa, wala hatutaki kujua yanatumika kutengeneza mali zipi, ili nasi tujaribu kutengeneza mali hizo tuwauzie wengine.

Hiyo helium, hivyo hivyo. Utajiri wetu ni wa kuchimba na kusafirisha. Huko ndiko kufaidika na utajiri huo?

Hawa vijana wanaomaliza vyuo na kukaa vijiweni, hatuuoni huo utajiri tunaoupoteza bure? Kwa nini kusiwe na mikakati ya kuwaunganisha vijana hawa na hizi mali zetu ili tufaidike zaidi nazo kikamilifu!

Sasa najua sitaeleweka, lakini ukweli ni kwamba bado hatuna mipango endelevu ya kuutumia huu utajiri tulio nao kikamilifu.
 
Tuchimbe tu hiyo helium teknolojia inabadilika upesi twaweza kuja jikuta tuna helium halafu hatuna cha kufanya nayo.Ichimbwe chap chap
YEHODAYA tatizo USA watakubaliana nasi?! Au watalianzisha kama Iraq, Syria na kwingineko? Hayo majambazi yanatutia hofu sana kwa kweli..
 
Kama kweli basi shame to the people who have done this. Ni ujinga na upumbavu wa kipepe..
 
Ahaa! Rudia statement ya Bloomberg;

"Helium One expects to be producing helium from Tanzania by the end of 2020, a few months before the world's main supplier, the U.S. government, ceases to supply the gas from the Federal Helium Reserve in Texas"
Na haitashangaza, huyo huyo US ndiye akawa mnunuzi mkuu, ku-'replenish' stock yake ya helium.

Lakini sisi hata lile wazo tu la kufikiria kuwaalika akina Philips. General Electric, Siemens; na hata waChina waje wawekeze hapa kwetu kutengeneza MRI zao na kutuuzia na kuwauzia waafrika wenzetu, hilo linatushinda kuliunganisha na hizi mali zetu.

Kwa nini hili linatushinda?

Hata kutengeneza maputo tu hatuwezi, tukawauzia waKenya ili tofauti kubwa ya biashara kati yetu ipungue hatuwezi tukaliwaza hilo?
Hata kutengeneza penseli tokana na graphite yetu nyingi hapa tukawauzia watoto kote Afrika, haiwezekani; ila tunachoweza ni kuchimba na kusafirisha?
 
Mimi binafsi naona ni sahihi kufanya siri au kuiza kwa siri kama ulichokiandika ni ukweli.

Wazungu si watu wazuri. Kwa nchi zinazoendelea ukionekana unayo maliasili nyingi ambayo wao wanaihitaji saana hawakawii kukuundia visa na kukuvamia kwa lengo la kukuibia maliasili hiyo. Rejea Iraq na hata Libya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunachohitaji sisi ni maendeleo tu. Hizo propaganda zako za ufipa peleka huko huko ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo Ni sekta binafsi haijiongezi.Sehemu kubwa ya sekta binafsi hizo Ni fursa ambazo ilitakiwa izitumie.Fursa hizo hata wewe jitose ufanye unataka Afanye Nani ?
 
Tatizo Ni sekta binafsi haijiongezi.Sehemu kubwa ya sekta binafsi hizo Ni fursa ambazo ilitakiwa izitumie.Fursa hizo hata wewe jitose ufanye unataka Afanye Nani ?
Katika jambo mhimu kama hili serikali haiwezi ikajitoa.
Hao sekta binafsi wanahitaji mazingira yanayowezesha shughuli zao, na ni wajibu wa serikali kuyaweka mazingira hayo.

Kazi ya kuwaandaa vijana wawe tayari kutumiwa na sekkta binafsi, huwezi kuondoa wajibu wa serikali kufanikisha hilo; na mengi mengine.
 
Utafanya siri wazungu wasijue, huu sio ujinga?

Wanaofichwa wasijue kinachoendelea ni maamuma kama nyie, sio wazungu, hawa wana nyenzo zote za kujua kila linalofanyika huko makabatini kwenu.

Tunachohitaji sisi ni maendeleo tu. Hizo propaganda zako za ufipa peleka huko huko ufipa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zaidi ya ujinga..., inaelekea kwenye 'upumbavu'.
 
Dah! Tunalipwa ili isivunwe?adumu Maghufuli!
[/eeQUOTE]
Huu mchezo siyo wa leo. Nilifanya utafiti 1972 kuhusu madini hata kuvuna mafuta na urani yetu tunalipwa tueivune. Hizo hell wanazijua genge la CCM tu. Usione wanaparulana iko maneno.
 

Umeandika pumba
 

Mbna hujaleta reference ya hapo palipoandikwa dunia ilikuepo miaka ma bilion....😀 Na wap pameandikwa yesu alikuepo kabla ya marium kumzaa? Hujui chchte kuhusu dunia na vilivyomo huna unachojua bora ungekaa kimya kuliko kuandika upuuzi mwngi hvo ndo unajionesha ni jinsi gan huna akili
 
Kati yake na wewe; naona wewe ndiye "asiekuwa na akili". Hili liko wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…