101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,057
- 2,221
Akili za wale waliomwita mwinyiheri Nyerere watu wa Sunday school na PhD zaoHizi ni akili za Madrasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za wale waliomwita mwinyiheri Nyerere watu wa Sunday school na PhD zaoHizi ni akili za Madrasa
Tena ningekuwa modes ningeufuta uzi wako kwa dakika moja wao walikuvumilia hadi zikafika nne.Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya
Na niliomba waisome the State.