Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya
Na niliomba waisome the State.