Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

Acha basi. Tanzania inaongoza kwa kua na miundombinu bora za barabara afrika mashariki na kati. (Ukitoa kenya). Ni kweli miji inajengwa bila plan lakini i think hoja yako ipo too general
 
Wametushinda wa Zambia ukienda mji kama Ndola lazima upige salute ..mji umepangwa vizuri, barabara zinaeleweka vizuri...
 
Kwenye miundombinu nakubaliana na wewe kabisa
Maana ukiangalia tu hiki kipande cha barabara kutoka Mbezi-Chalinze njia inamawimbi mawimbi,lami imetitita balaa.
 
Acha basi. Tanzania inaongoza kwa kua na miundombinu bora za barabara afrika mashariki na kati. (Ukitoa kenya). Ni kweli miji inajengwa bila plan lakini i think hoja yako ipo too general
Kwa akili yako fupi unadhani miundombinu ni barabara tu?

Mipango mji hujui pia kama ni miundombinu?

Alafu barabara zipi unazosema bora, hizi mvua ikinyesha kidogo tu hazipitiki? Wewe ubora kwako ndio huo?
 
Acha basi. Tanzania inaongoza kwa kua na miundombinu bora za barabara afrika mashariki na kati. (Ukitoa kenya). Ni kweli miji inajengwa bila plan lakini i think hoja yako ipo too general
Miundombinu bora ya barabara unazoziongelea ni zipi, hizi ambazo manyunyu ya mvua tu hazipitiki?
 
Serikali imelala usingizi kabisa kuhusu mipango miji,inaawaangslia tu wananchi wajipangie wenyewe. Miji inakera ilivyo kaa
 
Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.

Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?

Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.
Viongozi hawajifunzi, wanaendaga ulaya kula baga, bata, kushangaa na kurudi Tanzania.

CCM ni MKOSI

TANZANIA ni Kichwa cha MWENDA WAZIMU

WATU WEUSI NI MZIGO.
 
Hakuna kitu kibaya kama chuki,
Angalia hii video ya huyu mkenya kakiri mwenyewe kabisa kuwa barabara za Tanzania ni nzuri sana,
Hiyo kenya munayoiabudu natamani siku moja muitembelee 😂😂😂
Kenya ni Nairobi tu tena pale mjini tu, sehemu zingine ni kama wamezitelekeza,
Ifike mahali Wabongo mjikubali na muache kudanganywa na propaganda za kijinga.

Muwe munasafiri kidogo sio kukaa sehemu 1 na kushinda jf kuandika upuuzi congo kuna majimbo ata km 1 ya lami ayana na ni majimbo njia zote mbovu mno ata ruffroad mbya km 100 unatumia kutwa nzima kuimaliza kwa gari.
 
Weka basi chanzo cha Data tuangalie vigezo vilivyotumika
 
Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.

Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?

Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.
Tuletee source ya hiyo taarifa.usiwe ni chuki zako za veti fake ndio maana ukaamua kuandika iv
 
Sisi ni matajiri acha ropo ropo wadanganye wafungwa wenzako huko mahakaman
tapatalk_1570357691945.jpeg
 
Iv ww ushawaitoka ata apo nyuma ya tunduma kwel?
Kwenye miundombinu nakubaliana na wewe kabisa
Maana ukiangalia tu hiki kipande cha barabara kutoka Mbezi-Chalinze njia inamawimbi mawimbi,lami imetitita balaa.
 
Acha basi. Tanzania inaongoza kwa kua na miundombinu bora za barabara afrika mashariki na kati. (Ukitoa kenya). Ni kweli miji inajengwa bila plan lakini i think hoja yako ipo too general
Hakuna kitu kibaya kama chuki,
Angalia hii video ya huyu mkenya kakiri mwenyewe kabisa kuwa barabara za Tanzania ni nzuri sana,
Hiyo kenya munayoiabudu natamani siku moja muitembelee 😂😂😂
Kenya ni Nairobi tu tena pale mjini tu, sehemu zingine ni kama wamezitelekeza,
Ifike mahali Wabongo mjikubali na muache kudanganywa na propaganda za kijinga.

Muwe munasafiri kidogo sio kukaa sehemu 1 na kushinda jf kuandika upuuzi congo kuna majimbo ata km 1 ya lami ayana na ni majimbo njia zote mbovu mno ata ruffroad mbya km 100 unatumia kutwa nzima kuimaliza kwa gari.
Miundombinu si Barabara au Lami pekee. Jitahidini kitafuta ufahamu zaidi wa mambo.

Kuna masuala kama, Mawasiliano ya simu, Mifumo ya maji safi na maji taka, Afya, Mifumo ya nishati. Mipango ya majengo n.k. vyote hivyo ni Miundombinu.
 
Back
Top Bottom