Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.

Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?

Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.
mkuu uko serious au unatania? kweli tz tuko hivyo mbona siamini?
 
amani hii imetufumba vingi sana ukiuliza swali kuhusu maendeleo ya taifa unaitwa mhaini msaliti unatoesha amani
 
Miundombinu si Barabara au Lami pekee. Jitahidini kitafuta ufahamu zaidi wa mambo.

Kuna masuala kama, Mawasiliano ya simu, Mifumo ya maji safi na maji taka, Afya, Mifumo ya nishati. Mipango ya majengo n.k. vyote hivyo ni Miundombinu.
Mwenye uzi kaongelea kuhusu miundombinu ya barabara ndio maana nikamjibu hivo,
Hata hizo ulizotaja hapo pia Tanzania tuko vizuri sana sema ni huwa hampendi tu kujikubali, jitahidi angalau uwe unatembelea lile jukwaa la EA kule,
Baadhi ya mifano.
Tanzania

Kenya

Uko sahihi kabisa, Barabara zetu hazijengwi katika ubora unaostahili hivyo kupelekea kuharibika ndani ya muda mfupi na haya ni matokeo ya rushwa na incomptence ya mainjinia wetu..tunapiga kelele tunajenga miundombinu kwa hela nyingi ambayo haidumu.

Twende kwa jirani zetu waKenya , wapo seriousy sana ktika sekta ya barabara..unapita kwenye brabara hadi.unasema YES hapa.kuna wasomi walisimamia ujenzi bora wa barabara..

Serikali yetu bado inaendeshwa kizamani..Rais amejitahidi kuwaengage vijana katika sehem mbalimbali ambapo wao walitakiwa kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuleta mawazo mapya na chanya kutokana na mabadiliko ya kasi dunia inayopitia but still wameonekana kupwaya na kutoonyesha tofauti yoyote..

Mara nyingi.tumekuwa tukijitapa kwamba sisi.Tanzania ni sleeping Giant..hivi tutaendelea kulala mpaka lini?? Majirani zetu kama Rwanda speed wanayokwenda nayo in 20 years to come vijana wetu watagombania Visa ya kuingia huko kutafuta maisha mazuri.

Mabadiliko makubwa sana yanatakiwa kufanywa kuanzia kwenye mitaala yetu ya Elimu, We have to mordenify our education curicullum so that it can suit the current technological changes..Majirani zetu wakenya naona wao wameliona hili na wapo kwenye mchakato huo.

WE HAVE TO CHANGE otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji..
.........modernise...
 
Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora.

Kwenye miundombinu tunashika nafasi ya kwanza kua na miundombinu mibovu Afrika hasa kwenye miji mikubwa, ukianza na Dar es salaam, miunndombinu ni mibovu hakuna mfano, hadi unajiuliza hii nchi ina watu walioenda shule kweli? Nenda Arusha, Mbeya, Mwanza, Dodoma, kila mahali miundombinu ni mibovu, hakuna mpango miji, hii nchi ni kama haina serikali ya kusimamia hilo. Viongozi wetu wametembea sana ulaya, hawajifunzi? Yaani hata kupanga miji kwenye ardhi yetu tunahitaji misaada ya wanaoitwa mabeberu?

Kitu pekee tunaweza kujivunia ni amani kwenye dimbwi la umasikini.
Muwongo we!
Muone vile
 
Acha kuchekesha waliokufa ww. Danganya hao hao.
Nazani umejionea mji wa ndola Zambia ulivyo katika mpangilio maana raia mnapenda sana kubishana pasipo sababu mkitetea ata visivyo teteleka..View attachment 1276137
Screenshot_20191129-144820.jpeg
 
Wizara ya Ardhi, nyumba na Maendeleo wakae Chini kuupanga huu mji

Huko chanika na sehem nyingine watu wanauziwa Viwanja vimekaa hovyo kabisa kama kashata za Mia Mia, Hakuna Hata plan

Miaka 10 badae sehem inakua kama Tandale Au Manzese Hapo Hapo wanakuja na wataingia gharama kubwa kuwalipa watu kupisha Miradi Barabara, Soko nk Hali ya Kuwa mipango ingefanyika mapema tena kwa gharama Ndogo Sana

Sidhan kama hilo Swala linawashinda ni vile tuu mpaka wajiskie
Nchi nzima ni hivyo. Umeongea kitu cha msingi sana.
 
Msio na akili hua hamuwezi kuona hadi mletewe utafiti, siku moja utataka hata mume wako akikuomba kukula nyapu yako utataka akuletee utafiti.
kwani ungeweka source link ungepoteza kesi yako hakimu?.
 
Wizara ya Ardhi, nyumba na Maendeleo wakae Chini kuupanga huu mji

Huko chanika na sehem nyingine watu wanauziwa Viwanja vimekaa hovyo kabisa kama kashata za Mia Mia, Hakuna Hata plan

Miaka 10 badae sehem inakua kama Tandale Au Manzese Hapo Hapo wanakuja na wataingia gharama kubwa kuwalipa watu kupisha Miradi Barabara, Soko nk Hali ya Kuwa mipango ingefanyika mapema tena kwa gharama Ndogo Sana

Sidhan kama hilo Swala linawashinda ni vile tuu mpaka wajiskie

Best comment ever...
 
Yani hata ukiwa unahitaji huduma ya kwenda haja ndogo au kubwa ndo utachoka mwenyewe!

Huduma vya vyoo safi hakuna !

Ukijaliwa kupata hii huduma ukifika kuchafu kiasi cha kutofaa kwa matumizi ya kibinadamu!

Sijui tunakwama wapi?!
 
Mfano upo sokoni Kariakoo umeenda shopping au maeneo ya posta n.k ukabanwa na haja kubwa au ndogo utaenda wapi pa kueleweka ukajisaidie sehemu yenye choo safi na salama?

Yani ukubahatika kupata hicho choo
Nakwambia utabana pua Mwanzo mwisho na hatari ya kudumbukia
 
Mashuleni na hospitali ndo usiseme [emoji108][emoji108]

Mfumo wa uwepo wa vyoo na maji ya kutawazia ambao ni salama kiafya hakuna kabisa,

Niambieni kama upo?

Huwezi kuweka ndoo ya maji na Kopo sehemu yenye muingiliano wa watu wengi?

Inatakiwa mifumo vya kuchamba huru ambayo ni salama (flexible pumps)
 
kwani ungeweka source link ungepoteza kesi yako hakimu?.
Kwa akili yako kila kitu kinahitaji source? Hata unavyobiona mwenyewe unahitaji source?

Kizazi cha sasa ni zero brain kabisa.
 
Kwa akili yako kila kitu kinahitaji source? Hata unavyobiona mwenyewe unahitaji source?

Kizazi cha sasa ni zero brain kabisa.
Hii habar haina source.....umefikiria tu na hicho kichwa chako ukaja kuandika ufudhi hapa...jf imekuwa kikokoro tu siku hizi..
 
Back
Top Bottom