Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

mkuu uko serious au unatania? kweli tz tuko hivyo mbona siamini?
 
amani hii imetufumba vingi sana ukiuliza swali kuhusu maendeleo ya taifa unaitwa mhaini msaliti unatoesha amani
 
Miundombinu si Barabara au Lami pekee. Jitahidini kitafuta ufahamu zaidi wa mambo.

Kuna masuala kama, Mawasiliano ya simu, Mifumo ya maji safi na maji taka, Afya, Mifumo ya nishati. Mipango ya majengo n.k. vyote hivyo ni Miundombinu.
Mwenye uzi kaongelea kuhusu miundombinu ya barabara ndio maana nikamjibu hivo,
Hata hizo ulizotaja hapo pia Tanzania tuko vizuri sana sema ni huwa hampendi tu kujikubali, jitahidi angalau uwe unatembelea lile jukwaa la EA kule,
Baadhi ya mifano.
Tanzania

Kenya

 
.........modernise...
 
Muwongo we!
Muone vile
 
Unatumiwa na mabeberu we we sio bure!
 
Nchi nzima ni hivyo. Umeongea kitu cha msingi sana.
 
Msio na akili hua hamuwezi kuona hadi mletewe utafiti, siku moja utataka hata mume wako akikuomba kukula nyapu yako utataka akuletee utafiti.
kwani ungeweka source link ungepoteza kesi yako hakimu?.
 

Best comment ever...
 
Yani hata ukiwa unahitaji huduma ya kwenda haja ndogo au kubwa ndo utachoka mwenyewe!

Huduma vya vyoo safi hakuna !

Ukijaliwa kupata hii huduma ukifika kuchafu kiasi cha kutofaa kwa matumizi ya kibinadamu!

Sijui tunakwama wapi?!
 
Mfano upo sokoni Kariakoo umeenda shopping au maeneo ya posta n.k ukabanwa na haja kubwa au ndogo utaenda wapi pa kueleweka ukajisaidie sehemu yenye choo safi na salama?

Yani ukubahatika kupata hicho choo
Nakwambia utabana pua Mwanzo mwisho na hatari ya kudumbukia
 
Mashuleni na hospitali ndo usiseme [emoji108][emoji108]

Mfumo wa uwepo wa vyoo na maji ya kutawazia ambao ni salama kiafya hakuna kabisa,

Niambieni kama upo?

Huwezi kuweka ndoo ya maji na Kopo sehemu yenye muingiliano wa watu wengi?

Inatakiwa mifumo vya kuchamba huru ambayo ni salama (flexible pumps)
 
kwani ungeweka source link ungepoteza kesi yako hakimu?.
Kwa akili yako kila kitu kinahitaji source? Hata unavyobiona mwenyewe unahitaji source?

Kizazi cha sasa ni zero brain kabisa.
 
Kwa akili yako kila kitu kinahitaji source? Hata unavyobiona mwenyewe unahitaji source?

Kizazi cha sasa ni zero brain kabisa.
Hii habar haina source.....umefikiria tu na hicho kichwa chako ukaja kuandika ufudhi hapa...jf imekuwa kikokoro tu siku hizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…