B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Tupo slow sana kwenye hizi mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Appreciation bro, umeuchangamsha uzi wa huyu mwanasiasa, maneno mengi afu he know nothing.Kama ni home tu kwanini usijaribu Mkuu? Sema inabidi ulimit kweli kweli, hizi site za kustream zikidetect speed kubwa Zina tabia ya kukupa quality kubwa Kadri iwezekanavyo, kwa 4k hizo gb 150 fast zinakata.
Angalia stream zako kwa HD kawaida 720p, quality decent na GB hazitaenda sana,
Kwa Tanga ushauri cheki tigo 4g, unaweza ukaanza tu na kifurushi cha kawaida kuangalia speed na ulaji data, wanavyo vya wiki.
Pia router si lazima ununue kwao kuliko kutoa laki 2 kununua router iliyo locked kwa mtandao mmoja, waweza nunua za Tp link ama Dlink kwa around 150k ikawa na features nyingi na ukatumia mtandao yote.