Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika Telecommunication Industry

kuna namna umesema unafanya ili kutafuta mnara wenye Strength
Inakuwa ni Automatic kwa mimo,

Na ukiwa na simu yenye Lte Advance ina maana munakuwa wachache, wanapoweka vifaa vyao kwenye mnara, kuna vinavyohudumia Gprs, Edge, Wcdma, Hspa, Hspa+, Lte, Lte advance etc.

Simu zote za miaka kama mitano iliopita zina almost tech zote hizo,

Lakini simu chache Zina lte advance, hivyo simu ikiwa na Lte advance utaconnect na wenzako wachache kwenye mnara wenu wa pekee, hii inasaidia hata ukiwa eneo lenye watu wengi mtandao unakuwa hauwi slow kwako.
 
Sawa mkuu
 
Nishaurini nataka niweke ttcl adsl broadband home wanasema watanipa na nduki ya 4mbps bure for one month freee noko tanga je nijitusue Tu cc:chief mkwawa CHIEF MKWAWA
 
Habari 👋🏾

Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria, Ujerumani.

Mazungumzo yetu yalilenga kufahamu utendaji, teknolojia, huduma mbalimbali, teknolojia ya 5G na kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya Telecommunications kwa mataifa ya Tanzania, Marekani, Kanada na Ujerumani.

Mazungumzo yetu yalikuwa ni yenye shauku kufahamu utendaji wa makampuni yatoayo huduma ya mawasiliano kwa simu, na idadi yake kwa mataifa hayo. Viongozi hawa walifurahishwa sana kusikia Tanzania inaowatoa huduma wengi ambao ni Vodacom Tanzania, Tigo Tanzania, Airtel Tanzania, Halotel, Zantel, Smart, Smile na TTCL huku wakiamini kwamba mtumiaji wa mwisho anachagua huduma aitakayo na kusikitishwa na ufinyu wa mitandao katika mataifa yao.

Kadri tulivyozidi kujadili masuala mbalimbali walishangazwa na mfumo wa bundles (Vifurushi) na kusema hiyo ikiwezesha kutokea katika mataifa yao watumiaji watanufaika pakubwa. Pamoja na kushangazwa kwa utumiwaji wa bundles, walisikitishwa kwa ukosefu wa WiFi katika taifa.

Jambo kubwa lilitokea ni baada ya kufanya utafiti mdogo kupitia wakati wa mazungumzo na kugundua teknolojia inayotumika hii leo na taifa zima katika Telecommunication Industry ni ndio iliyotumika miaka 21 nyuma kwa Marekani, Ujerumani na Canada. Walishangazwa na kujiuliza kama taifa linaweza vipi?

Hali hii iliibua swali endapo Tanzania na Marekani wanayo mahusiano na kuuliza imekuwaje Marekani imeshindwa kupeleka teknolojia Tanzania na kufanya uwekezaji?

Sasa hapa najiuliza maswali mengi lakini moja wapo ni, Je uliwahi kufahamu Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika simu?
Kuna uwezekano hukuwaelewa kawaulize tena hao wazungu wako vizuri. Kuna uwezekano ulikuwa unaongea na wazungu wa marketing na wala si wataalamu wa teknolojia mkuu.
 
Habari [emoji1480]

Unashangaa hilo watoto wa primary school wanafundishwa TEHAMA kwa TV za vichogo. Halafu unakuta mwalimu kajikunja kumfundisha mtoto namna ya kuwasha tv anawashaje tv kwa picha??

Hii nchi bwana !!
 
Nishaurini nataka niweke ttcl adsl broadband home wanasema watanipa na nduki ya 4mbps bure for one month freee noko tanga je nijitusue Tu cc:chief mkwawa CHIEF MKWAWA
Mkuu adsl ndio hio Sasa inayoitwa tech ya miaka 21 iliopita,

Matumizi yako ni kama gb ngapi kwa mwezi? Ttcl Wana charge kiasi gani kwa 4mbps?
 
Wanacharge laki mbili kwa mwezi unlimited matumizi yangu kwa mwezi ni kama gb150
 
Mkuu adsl ndio hio Sasa inayoitwa tech ya miaka 21 iliopita,

Matumizi yako ni kama gb ngapi kwa mwezi? Ttcl Wana charge kiasi gani kwa 4mbps?
Nilikwenda voda wao wana routers ambazo unatumia watu 20 na wanategemea minara yao so ni ya kawaida km kwny simu Tu ku na time itakua faster na time itakua slow kdg japo wanakupa gb100 na 50 zal bonus kwa mwez mzima wanacharge 120 kwa hiko kifurushi hiyo router wanauza 252000 nishauri CHIEF MKWAWA
 
Habari 👋🏾

Kwa takribani siku tano nimekuwa katika mazungumzo na Dr. Dan Havlick, Bw. Medenne Stephenson na Prof. Sara Ramirez ambao ni wakurugenzi watendaji wa kikanda wanaosimamia maslahi ya makampuni ya mawasiliano ya AT&T, T-Mobile na Verizon kwa Kansas City, Toronto na jimbo la Bavaria, Ujerumani.

Mazungumzo yetu yalilenga kufahamu utendaji, teknolojia, huduma mbalimbali, teknolojia ya 5G na kuangalia fursa za uwekezaji katika sekta ya Telecommunications kwa mataifa ya Tanzania, Marekani, Kanada na Ujerumani.

Mazungumzo yetu yalikuwa ni yenye shauku kufahamu utendaji wa makampuni yatoayo huduma ya mawasiliano kwa simu, na idadi yake kwa mataifa hayo. Viongozi hawa walifurahishwa sana kusikia Tanzania inaowatoa huduma wengi ambao ni Vodacom Tanzania, Tigo Tanzania, Airtel Tanzania, Halotel, Zantel, Smart, Smile na TTCL huku wakiamini kwamba mtumiaji wa mwisho anachagua huduma aitakayo na kusikitishwa na ufinyu wa mitandao katika mataifa yao.

Kadri tulivyozidi kujadili masuala mbalimbali walishangazwa na mfumo wa bundles (Vifurushi) na kusema hiyo ikiwezesha kutokea katika mataifa yao watumiaji watanufaika pakubwa. Pamoja na kushangazwa kwa utumiwaji wa bundles, walisikitishwa kwa ukosefu wa WiFi katika taifa.

Jambo kubwa lilitokea ni baada ya kufanya utafiti mdogo kupitia wakati wa mazungumzo na kugundua teknolojia inayotumika hii leo na taifa zima katika Telecommunication Industry ni ndio iliyotumika miaka 21 nyuma kwa Marekani, Ujerumani na Canada. Walishangazwa na kujiuliza kama taifa linaweza vipi?

Hali hii iliibua swali endapo Tanzania na Marekani wanayo mahusiano na kuuliza imekuwaje Marekani imeshindwa kupeleka teknolojia Tanzania na kufanya uwekezaji?

Sasa hapa najiuliza maswali mengi lakini moja wapo ni, Je uliwahi kufahamu Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika simu?
Sasa kama dona kantreee tunatumia teknolojia outdated kiasi hicho, vipi kuhusu third worl kantriz, si ndio balaa kabisa
 
Hili wanaloiita jiji la tanga hakuna kampuni kama zal daresalaam mfano zuku,smile,catnet etc shida sana
 
Au kuna kampuni gani ambayo wapo tz nzima ambayo walo vizuri CHIEF MKWAWA
kwanza pima speed baina ya voda na tigo kwa Tanga, tigo pia wana gb 140 kwa 100k nao pia wana router.

kwa speed 4g ina kasi kuliko adsl hata 4g ikishuka i doubt itafika chini 4mbps.

uzuri wa hio 4mbps ni unlimited, ujue hizi wifi za maofisini anaweza mtu akashusha movies zake za kutosha na kumaliza hizo gb 150 faster tu.hivyo 4mbps ina assurance fulani hutahitaji kununua chochote katikati ya mwezi.

ctv wapo Tanga, hawa wana fiber jaribu kuwacheki,
website yao ipo hovyo, chukua namba wapigie.

pia hao hao TTCL wana fiber na 4g jaribu kuwauliza package tofauti na nduki.
 
Mkuu ctv nishawacheki wana gharama packages zao kulingana na mbps imagine 4mbps kwa mwez jiwe 3..voda sometimes hadi status inagoma kuview na tigo niliachana nao kitambo sijajua kwa routers zao zitakuaje ila huku tanga watuamiaji wa tigo ni wengi so towers zinakua fulll hawa ttcl nilikwenda kwa lengo la kutaka kufahamishwa badala yake wakaanza kunipa fomu nijaze na kuniambia sjui watanipa kifurushi bure cha 4mbps na wanatumia simu zal mezani zinakua cheaped ila sikufanya malipo.. Ila nimeona unanishauri zaidi 4g kuliko hizi fiber kaka au nimekusoma vibaya CHIEF MKWAWA
 
Na sisi home tunatumia sana internet kustream au kudownload so hizi gb140 nitatusua kweli kwa voda au tigo? CHIEF MKWAWA
 
Ni adsl simu za mezani sio fiber, 4g ni bora kuliko simu za mezani,
 
Na sisi home tunatumia sana internet kustream au kudownload so hizi gb140 nitatusua kweli kwa voda au tigo? CHIEF MKWAWA
Kama ni home tu kwanini usijaribu Mkuu? Sema inabidi ulimit kweli kweli, hizi site za kustream zikidetect speed kubwa Zina tabia ya kukupa quality kubwa Kadri iwezekanavyo, kwa 4k hizo gb 150 fast zinakata.

Angalia stream zako kwa HD kawaida 720p, quality decent na GB hazitaenda sana,

Kwa Tanga ushauri cheki tigo 4g, unaweza ukaanza tu na kifurushi cha kawaida kuangalia speed na ulaji data, wanavyo vya wiki.

Pia router si lazima ununue kwao kuliko kutoa laki 2 kununua router iliyo locked kwa mtandao mmoja, waweza nunua za Tp link ama Dlink kwa around 150k ikawa na features nyingi na ukatumia mtandao yote.
 
Tatzo mkuu mfano km vodacom ukichukua router kwao ndo wanakuunga na bundle la kasi ambalo lina gb ambazo sio kdg na sio nyingi yani linakidhi kwa pesa yako sasa ukiwa na router yako mwenyewe ukaweka line ya voda hutapata bundle hilo itabidi ujiunge vifurushi ambavyo wameweka na vyenyew vinaumiza kias flani CHIEF MKWAWA
 
Bundle kiasi gani unapewa? Na sidhani kama vifurushi vya home internet vipo linked na router.
 
Je uliwahi kufahamu Tanzania inatumia teknolojia ya miaka 21 iliyopita katika simu?
Tanzanians tunajua sana mambo ambayo hata inawezekana kitaaluma huyajui au unayajua juu juu tu. Hivi unaweza niambia 21 years ago walikuwa kwenye Generation ipi ya mawasiliano?
Variation ya Telecom equipment na infrastructure in general haitofautiani sana to the extent unayotaka kuuaminisha umma kwa sababu tu ya uwezo wako wa kuandika maneno mengi kwenye majukwaa.
 
Back
Top Bottom