Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kuna mambo hapo si kweli na mengine ni kweli swala la kuwa tunatumia tech ya miaka 20 iliyopita naweza kusema hapana ukweli kwa maana umeshindwa ku indicate kwa mantiki ipi iyo tech tunayotumia ila tu wazungu walipo tuzidi ni vitu kama 5G ambavo hata kwao vimekuwa implemented Practically recently kingine pia Broadband hawa wenzetu wapo mbali sana upande wa fiber almost nyumba zao nyingi kuna Fiber huingia ambapo through wired connection unaweza ku archive high speed na kuweza kucheza vitu kama game online au netflix yale smoothly, Sisi fiber ipo kwenye majiji machace ila pia public wife ni chache sana
Mimi ni mtaalam wa umeme ivo nimeshangaa kaa na watu wa telecom na Computer science wa nje
Mimi ni mtaalam wa umeme ivo nimeshangaa kaa na watu wa telecom na Computer science wa nje