Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Unaogopa kata yumba yumba sana?[emoji23][emoji23]Ata kwa Million za Kitanzania 1,000,0000,0000,000,000 cash, sipandi.
Stigilaji goji😎Kwa umeme gani tulio nao wakutupa jeuri hyo
badili heading iwe hivi "Czech kuanza kuzalisha ndege nchini Tanzania"Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania.
Ngede ni niniKampuni ya kutengeneza ndege ya nchini Czech, inapanga kuanzisha kituo chake cha utengenezaji wa ndege nchini Tanzania.
Ni flight bird au aeroplaneNgede ni nini
Itakuwa ni kateleza kuandika na kwa kuwa ni kichwa cha uzi hana uwezo wa kusahihisha bila modsNgede ni nini
AircraftNgede ni nini
ImeshasahihishwaAircraft
Hiyo ikipigwa upepe kama unatoka Unguja ukwenda Dar unaweza ukajikuta umetupwa Mogadishu...hii ni hatari kwa kwa matumizi
Uki track anga ya dunia ilivyo bize kwa biashara ya ndege. Sidhani kama mwekezaji huyo yuko serious, kuanzisha huduma hiyo hapa nchini.Kampuni ya kutengeneza ndege ya nchini Czech, inapanga kuanzisha kituo chake cha utengenezaji wa ndege nchini Tanzania.
Chanzo cha kuaminika kimesema kuwa kampuni hiyo iko kwenye mazungumzo ya mwisho na serikali ya Tanzania ili kuanzishwa kwa kiwanda cha kutengeneza ndege aina ya Skyleader 500 hapa nchini.
Mwekezaji ameonyesha nia ya kuanzisha kituo chake katika maeneo ya pwani, Kwa hali hii kampuni ina uwezekano wa kujenga kiwanda chake Mkoani Mtwara,” chanzo hicho kilisema.
Skyleader ni watengenezaji wa ndege wa Jamhuri ya Cheki waliobobea katika kubuni na kutengeneza ndege zenye mwanga wa juu zaidi kwa namna ya ndege zilizo tayari kuruka katika kategori za Férations Aéronautique Internationale microlight na ndege nyepesi za michezo hasa kwa nchi kama Marekani.
Source: the citizen.