Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna kitu kinavutiwa pumzi. Trust me hapo shamba la bibi linapigiwa mahesabu. Kuna vitu vingine wala huhitaji degree kuunganisha doti. Hebu fikiria.... Nchi ya Czech + kutengeneza ndege + nchini Tanzania! Mahesabu hayaji kabisa. Haya mazingaombwe kama yale ya kutengeneza mvua au drone za kuzima moto.Uki track anga ya dunia ilivyo bize kwa biashara ya ndege. Sidhani kama mwekezaji huyo yuko serious, kuanzisha huduma hiyo hapa nchini.