Hii imenikumbusha aliwahi kuwepo mzungu mmoja aliunda ndege yake kwa kutumia injini za pikipiki mbao na mabati kule Njombe, inasemekana alipewa saa 24 aondoke, lakini miaka ya 1990s kulikuwepo wazungu walikuwa wanaunda ndege zao kule Kibidula Mufindi sijui waliishia wapiKampuni ya kutengeneza ndege ya nchini Czech, inapanga kuanzisha kituo chake cha utengenezaji wa ndege nchini Tanzania.
Hivi kile cha simu kilishaanza fanya kazi?
Uki track anga ya dunia ilivyo bize kwa biashara ya ndege. Sidhani kama mwekezaji huyo yuko serious, kuanzisha huduma hiyo hapa nchini.
Aaaah wapiiii!!!
Kwa umeme gani tulio nao wakutupa jeuri hyo
Tuna tatizo kubwa la kisaikolojia.Ata kwa Million za Kitanzania 1,000,0000,0000,000,000 cash, sipandi.
Nimekuambi, hebu jaribu ku track Air traffic duniani, uone aibu mwenyewe.Tuna tatizo kubwa la kisaikolojia.
Magufuli alizingua wakasepa zao ilikuwa wajenge eneo la EPZA pale Bagamoyo.Hivi kile cha simu kilishaanza fanya kazi?
Ukizoea unapanda bila shida.Ata kwa Million za Kitanzania 1,000,0000,0000,000,000 cash, sipandi.
Sawa.Nimekuambi, hebu jaribu ku track Air traffic duniani, uone aibu mwenyewe.
Mambo mengine hayahitaji propaganda
Kuna fulsa ameiona mkuu, sidhani kama mkoloni atakuwa mjinga kuja hapa tena Mtwara gizani huko.Uki track anga ya dunia ilivyo bize kwa biashara ya ndege. Sidhani kama mwekezaji huyo yuko serious, kuanzisha huduma hiyo hapa nchini.
😆😆😆vinamwagika hivyo mkuuAta kwa Million za Kitanzania 1,000,0000,0000,000,000 cash, sipandi.
Wa Czech ndiyo watafanya kazi hiyo mkuuMbongo atengeneze ndege sipandi ng'o
Siasa tu za ccm hamna kituHivi kile cha simu kilishaanza fanya kazi?
mali zinagombewa huko mahakamaniHivi kile cha simu kilishaanza fanya kazi?
Duh.....Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema kipo hatua za mwisho za majadiliano na kampuni ya Skyleader yenye makao makuu nchini Czech ili waje kuwekeza nchini Tanzania.
Skyleader ni kampuni inayotengeneza ndege ndogo za wazi ambazo huwa na siti moja hadi mbili. Kampuni hiyo inaweza kuanza uzalishaji wa ndege hizo nchini.
View attachment 2120860
Mwaka Huu Una MengiHaya masihara sasa