Hapo kuna kitu kinavutiwa pumzi. Trust me hapo shamba la bibi linapigiwa mahesabu. Kuna vitu vingine wala huhitaji degree kuunganisha doti. Hebu fikiria.... Nchi ya Czech + kutengeneza ndege + nchini Tanzania! Mahesabu hayaji kabisa. Haya mazingaombwe kama yale ya kutengeneza mvua au drone za kuzima moto.
Tujitahidi kwanza kutengeneza mbolea za bei nafuu kwa wakulima wetu hayo mengine baadae. Anyway assembling sio shida issue is there a big market? Bora wajikite kwenye drones